Mfano mzuri mkuu, Thomas partey is physically & technically better than Sergio bosquets, lakini nani anacontrol games vizuri btn them? Jibu ni Sergio bosquets, why? He got an IQ, he understands how to dictate the tempo of the game.
Mr mikel Arteta umemquote hapo juu anaongea kuhusu kuusoma mchezo, reading the game, maana yake kwamba tunaongoza goli nne mchezo uwendaje? Au Tumefungwa tupo nyuma kwa goli moja mchezo uendaje? Na anasema wazi ndio kazi ya Partey.
sasa Mr Partey tunaongoza goli 4 yeye yupo vertical tu instead of making it simple & short, nikisema analack IQ nakosea? Na nashangaa unamsupport it's ok kutokuhold mpira for a while wakati timu inaongoza goli 4, sasa atacontrol vipi mchezo? Kwa kucheza direct footie, sisi sio Counter attack teams, we're possessional based.