NIKWELI MIMI SIJUI MPIRA , ILA NITAKUELEZA KIDOGO NIKIJUACHO,
Maana naona unadai Partey hakai na mpira mara ha hold , nimejiuliza wewe unayejua mpira ,unashindwaje kujua Aina ya viungo, unashindwaje kujua toka Arteta anafika Arsenal alisema anataka kiungo gan wa chini, kuanzia hapo nimekuwa na wasiwasi na uliposomea mpira nakuujua .
Mimi kwa elimu yangu ndogo, nimekuwa namsikia kocha anasema Partey ana control game , hakumleta Partey awe Holding midfielder Kama unavyolalamika ,
msikilize Kocha hapa
YouTube › watch
"Exceptional! He controlled and dominated the game!" Arteta ...
Sasa Mimi nikiendelea kubishana na wewe nitakuwa napoteza muda
Anachosema Kocha Kuhusu Partey
"
He's really important because he is the anchor," Arteta said. "He is the one that needs to read what is happening and make the rest better.
"That's his biggest job, to get the right balance in the team and get the right fluidity in the team so we can attack.
"How he managed the transitions was top, he has the pressing and the charisma
Kocha anamuona ndiye muhimili wake ,wewe huna hata lesen ya awali hapo TFF unasema vingine .
Kocha anasema huyo ndiye boss wa midfield ya Arsenal , Anchor , wewe unakomaa mara ha hold mpira , Nan aliyekwambia Arteta anamtumia Partey Kama Holding midfielder?
Huyo ni DEEP LYING PLAYMAKER
DEEP LYING PLAYMAKER.
-Tofauti yake na deep lying midfielder au holding midfielder ni kwamba, deep lying playmaker focus yake ya kwanza uwanjani ni kuifanya timu iende mbele zaidi. Anaweza asiwe na majukumu makubwa ya kukaba na kuzuia lakini anahakikisha anai-push timu iende mbele. Mara nyingi viungo wa aina hii wanakua na uwezo mkubwa wa kupiga pasi za mbali zenye uhakika,
pasi ya ‘kuhamisha uwanja’. Mfano mzuri ni kiungo mtaalamu Andrea Pirlo, Nchini Italy viungo wa aina hii hujulikana kama “Regista”. Nchini Brazil kama “meia-armador”.
Ndio maana Arteta hakuwa na time na viungo wapiga kuni Kama Bissouma , Toreira ,
Hapa unapata picha Kuna kipind alimtaka Hadi Gorginho wa Chelsea ,why Ni sababu anataka kiungo anayecheza juu ya back 4 awe DLP , na kwasasa sokon anayepatikana mwenye hiyo role Ni FDJ .
Utaona hata Eric Ten hagg kwann anakomaa na FDJ , na sio wapiga kuni.
Naishia hapa ,