Arsenal ni kikundi cha wahuni hata siku moja hamuwezi kutoka nje kwenye kundi la watu nakujisifu kuwa mnatimu ya kutisha zaidi ya timu Chelseafc tena mkae kimya kwakutuliaMsimu uliopita chelshit anapigwa kukiwa na lundo la majerui
Msimu huu je?
Hapo kumbuka zinchenko, Jesus, Vieira, wote watakuwepo
Madogo wa London hawawezi kutusumbua
