hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,519
Eti Chelsea BManure pre season alimpiga liver nne ..saiv anapumulia machine ..wewe umewafunga Chelsea B Basi unaona una timu ..ngoja kwenye ligi tutawalamba vijambio mtabaki mdomo wazi..ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Kenge kweli wewe ,hukuweka hata mchezaji mmoja wa academy
Huna timu na Leo ukizubaa spursy anapita na wewe