Kwa jinsi Zinny anavyotumika timu ikipanda juu yeye anatengeneza double pivot na Partey, kuna nafasi ya Tieney kikosini?
Maana last season tulikua tunamuona Tieney akipanda juu anakua kama LW uku akimruhusu Smith Rowe kuingia ndani kua kama namba 10's yeye na Oderg na Xhaka anabaki kushoto nyuma ya Tieney
Nafasi ya Tieney ipo bado ?????
Mziki wa zinc, sio poa jamaa ana vyote, kanyimwa mwili tu,, pia pumzi yake game tough anakata zile dakika za sabini sabini, kumbuka game ya palace, mpk dakik ya 80s hivi na ule msako tulio pigiwa na wale maniga,
Haikuwa salama kwetu sana zile dakika hasa ule upande wa zinc yule, ayew na alivyo ingia mateta, jumlisha na ile mi volley ya yule 5 palace yule white simkumbuk jina, zinc alizidiwa ila tu alivyo ingia tienery hali ikatulia,
Na game ya jana leister walipatia gori upande wa zinc, dakik zile zile anazo kataga pumzi,, ila alivyo ingia tienery ali cover,,
Tienery nae sio haba ngoj awe fullfit, kuna zile game tough, atatumika tu, yani uyu jama mbadly pia vil vil,, zil tough game atachafua sana, zinc anafat anatia matechqinc mengi sana,,
Mimi nawaza pale kwa saliba na white tu,, hapa, saliba wa moto (jana bahat mbay kwake ila shughuli yake hasimuliki),, white nae pale kat wa moto vil vile
Pia Big tomi aka japanise master,, ile full back anaitendea haki sana,, maan hap white atamuachia big tomi na sedric
Sedric ni backup nzur tu ya tomi, sio muhalibifu sana wakazi, jamaa anafight na sizan kam watauza huy msim huu tuna game zil carabao na fa game za mwanzo atahusika sana