Nitakubaliana na wewe tu endapo utasema anatakiwa ku-hold mpira pale timu inapokuwa kwenye pressure so anahold ili kuituliza timu vinginevyo binafsi sioni ulazima wa DM kuhold mpiraMkuu DM unataka a-hold mpira wa nini? 8 & 10 watafanya kazi gani? A-hold akiwa eneo gani??