toobiter
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,422
- 2,798
na hakuna mwingine zaid huko njeI favour Pepe
na hakuna mwingine zaid huko njeI favour Pepe
Poa shabiki msomi!Are you drunk? Au kwa sababu natumia lugha ya Malkia?
Leo alipiga defensive ya hatari ila city ameitekenya hadi akalainikaNext Bournemouth







Low block teams dawa yake ni Vieira, Fabio ni deep creator, tight space player, btn the line player.Leo alipigwa defensive ya hatari ila city ameitekenya hadi akalainika
Inabid tujipange, timu hizi za kukaa nyuma inabidi kila mtu ajishughulishe kutafuta goals
Odegard inabid ayatafute mashimo ambayo hayaonekani kwa macho ya kawaida
Jesus
Zinchenko
Partey
Martinel
Xhaka
Saliba
Saka
![]()
Mjomba umeandika na akili yako au umelewa?MR Partey is too aggressive, amefeli kuslow it simple,mwanzo nilidhani labda kwa kuwa anapewa majukumu mengi cuz timu ilikuwa hovyo sana ila sasa nadhani analack IQ, Pep hakuwa mjinga kumchukua Rodri akamuacha partey, niliona Arsenal inahusishwa na Tonali, km atasajiliwa nadhani over time anaweza kuchukua nafasi yake.
Kwa sasa shida yetu ni Mr Xhaka yupo slow mno, Gabriel magalhaes? fvck No.
,😂😂Anamlaumu Partey, anasema Odegaard ashift LCM😂😂Mjomba umeandika na akili yako au umelewa?