Tumetoa ofa ya 50 bt ranieri kasema bdo ana mpango nae naisi anatka replacement yke kwanza ndo amuachie🚨 || Leicester expect Arsenal to move for Youri Tielemans, but are yet to receive any offers for the Belgium midfielder [Via - @BenFisherJ / @Guardian_Sport].
Kama leicester wanatarajia hiki kitu basi washajua kila kitu() Leicester also expect Arsenal to move for Youri Tielemans (@benfisherj)
Tumetoa ofa ya 50 bt ranieri kasema bdo ana mpango nae naisi anatka replacement yke kwanza ndo amuachie
Wazee wa kuedit washaanza
Hapo kwenye kuwin CL make kwanza nicheke










..Kila nikiona kuna ...buyern munich ,real Madrid , Liverpool, man city , Barcelona,PSG ,atletico Madrid ,.....harafu arsenal na Hawa kina Saka ,ordegad ,martinell ,kupenya mpaka kuchukua CL 
Hata man city wametumia mapesa kibao na bado hawajapata kitu, anything is possible.Hapo kwenye kuwin CL make kwanza nicheke..Kila nikiona kuna ...buyern munich ,real Madrid , Liverpool, man city , Barcelona,PSG ,atletico Madrid ,.....harafu arsenal na Hawa kina Saka ,ordegad ,martinell ,kupenya mpaka kuchukua CL
![]()
Nina shawishika kusema huujui mpira, wapo watu walichukua uefa wakiwa na timu ya kuunga unga, chelsea mara zote 2, wapo watu walichukua uefa na vijana(masupastaa wa baadae) ajax, porto wamefanya hili.Hapo kwenye kuwin CL make kwanza nicheke..Kila nikiona kuna ...buyern munich ,real Madrid , Liverpool, man city , Barcelona,PSG ,atletico Madrid ,.....harafu arsenal na Hawa kina Saka ,ordegad ,martinell ,kupenya mpaka kuchukua CL
![]()
"arsenal ya Sasa Haina uwezo wa kuchukua uefa "Nina shawishika kusema huujui mpira, wapo watu walichukua uefa wakiwa na timu ya kuunga unga, chelsea mara zote 2, wapo watu walichukua uefa na vijana(masupastaa wa baadae) ajax, porto wamefanya hili.