Chatta g
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 651
- 1,024
Mkorea[emoji23][emoji23][emoji23] daah, kwahio kumbe tumuache tu,![]()
Sipendi kuoga
Jamani mnisaidie au utakuwa ugonjwa au nimerogwa katika kitu ambacho sipendi ni kuoga sijui kwanini yaani ninaweza pita siku 2 mpaka tatu sijaoga hata nikienda kazini naingia bafuni napiga passport size natoka.www.jamiiforums.com