hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,520
Kwenye Game ya leo Nilichonote ni kwamba Tumekuwa wakatili sana Kuanzia kati kwa Odegaard kwenda mbele,, Wale Vijana wa4 pale mbele ni wanakimbia Mnoooo,
Wanafanya movement zao kwa kasi,, Gabriel Jesus utamkuta kila Upande, huo wepesi wao zinazalisha vipasi flan vya Fasta fasta ambapo kwa beki Wazito wazito kama Magwaya Lazima wapate kizungu zungu