Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ndio maana nilipata kusema inabidi tuwe na defensive midfielder mgumu pale kati ili tuuone ubora wa hali ya juu wa hawa
Odegard, Rowe, martinel, saka, jesus

Kwa sasa tunae partey, sina wasiwasi na kazi yake pale kati
Shida ni majerui tu
Coz tukiwa na kiungo mkabaji mzuri, hao madogo hawatashuka sana chini, muda mwingi watakua kulekule mbele
Na hapo ndio utaona mtu anakufa 4 alafu bado anatafutwa

Kama unakumbuka kipindi partey alivyoumia, tukajikuta timu nzima imekua defensive,
fluidity ya kushambulia inakua ngumu sana, coz hadi tufike golin kwa wapinzani. Tunajikuta tumechelewa, watu wameshajipanga kitambo tu

Crystal palace yule mshenzi ijumaa ndio tunaanza nae kumalizana zile hasira za msimu uliopita.
Moja kati ya timu zilizofanya tuwe huku Europe
Hivi msala wa partey ushaisha?
 
Full mkoko vs Sevilla
FB_IMG_16591789248280136.jpg
 
arteta ndiye alisababisha tuwe europa wala si crystal palace. Anyway, tuachane na hayo. Huu ni msimu mpya hawa washamba lazima tuwakandamize.
Mkuu mimi nimekuelewa sana
Arteta kumuamini lokonga kuliko elneny

Anakuja kustuka jua limezama
 
The Nucleus of Arteta ball.
 

Attachments

  • IMG_20220729_150639.jpg
    IMG_20220729_150639.jpg
    99.1 KB · Views: 32
Hii arsenal wanajichosha tu ,mna uhakika kwenye league mtawasha moto huu [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom