Ndio maana nilipata kusema inabidi tuwe na defensive midfielder mgumu pale kati ili tuuone ubora wa hali ya juu wa hawa
Odegard, Rowe, martinel, saka, jesus
Kwa sasa tunae partey, sina wasiwasi na kazi yake pale kati
Shida ni majerui tu
Coz tukiwa na kiungo mkabaji mzuri, hao madogo hawatashuka sana chini, muda mwingi watakua kulekule mbele
Na hapo ndio utaona mtu anakufa 4 alafu bado anatafutwa
Kama unakumbuka kipindi partey alivyoumia, tukajikuta timu nzima imekua defensive,
fluidity ya kushambulia inakua ngumu sana, coz hadi tufike golin kwa wapinzani. Tunajikuta tumechelewa, watu wameshajipanga kitambo tu
Crystal palace yule mshenzi ijumaa ndio tunaanza nae kumalizana zile hasira za msimu uliopita.
Moja kati ya timu zilizofanya tuwe huku Europe