Booooom tunaaanza ligi tukiwa fitiEmile Smith Rowe, Kieran Tierney & Takehiro Tomiyasu all returned to Arsenal first-team training yesterday at London Colney. #afc
Hii jezi naweza kuipata ndugu?ANAYEHITAJI HIZI JEZ ZA ZAMANI ANICHEKI ZIPO CHACHE
BEI NI 35,000
Anasema kamla topeYule malaya anasema Partey kambaka lini? Haya yanakuja baada ya project kuanza kukamilika
Yule malaya anasema Partey kambaka lini? Haya yanakuja baada ya project kuanza kukamilika
Sikupingi mkuuEMILE SMITH ROWE
Ndiye mchezaji pale Arsenal kwangu Mimi mwenye brain ya kipekee ,Ndiye mchezaji anayeweza kutafsiri mikimbio kwenye half space
Ndiye mchezaji anayeweza kufanya one two kwa haraka Sana kuliko mchezaji yeyote ndani ya arsenal
Ndiye mchezaji ambaye mkifanya one two touch basi atakufanyia kitu kinaitwa A THIRD MAN RUN
A THIRD MAN RUN Ni nini?
A third-man run happens when the team in possession attracts an opponent towards the ball. Two players exchange passes before a third makes an off-the-ball run into space to receive. Third-man runs are therefore crucial to finding a player in a better position who cannot be found with a direct pass.
NOW EMILE SMITH ROWE KATIMIZA MIAKA 22,
Huyu manzi sio mzima akia nani, mambo gani hayo anazungumza publichuyo demu anaonesha lawama kwamba partey amepata bahati baada ya sheria za uk kubadilishwa, anasema partey alibaka akiwa holiday nje na uingereza na baada ya mabadiliko uk hawashughulikii kesi zilizofanyika outside.
Anasema kaliwa tope na Partey
Kesi mahakaman kashindwa, kaliamsha kwenye mitandao ya kijamii,duh
Martinelli naye si haba. Akianza mbele yake siyo kwa sababu anakaba zaidi. Shida yake naona anaangalia sana chini akiwa na mpira na kukosa kuona pasi kwa wenzie na kuchelewa kuachia mipiraESR ni mchezaji mzuri kweli na ana kipaji cha hal y juu ila naona majukumu ya arteta anay mpa ana pata shida kuyatkeleza ;sio mchezaj ambae anapenda sna kukaba so sitaona ajabu martinelli akiw bdo anaendlea kuanza mbele yake..
Si kam benzema,, tu,, katika watot ngumu kuchkua mpir mguu kwke par arsenaliingaMartinelli naye si haba. Akianza mbele yake siyo kwa sababu anakaba zaidi. Shida yake naona anaangalia sana chini akiwa na mpira na kukosa kuona pasi kwa wenzie na kuchelewa kuachia mipira