Partey akiwa fit almost msimu mzima au tumtumie sana katika tough games (Liverpool, city, spurs)His positional play is world class, and the positivity of his passing is a breath of fresh air, rolls royce…..THOMAS PARTEY


























Wapone mapemaArteta on #afc injuries.
"We have Kieran [Tierney] with a slight problem, we have Emile [Smith Rowe] with a muscular niggle, Tomiyasu as well and Ben [White]. Vieira has a slight problem in his bone, hopefully he will start to train in the next week or so."
Unavyosema tunahitaji backup ya mgalhaesKikosi kilichoanza Jana
Leno hakuwa hata sub, Huyu anakaribia kuuzwa Fulham Arsenal wanataka £15m, sio £10m .
Saliba ,Partey , walikichafua Sana
Saka , Odegaard,Jesus wanaelewana
Hawa kina bellerin,Tavares, Nelson, pepe soon watafute timu
Tierney alikuwa na slight injury, So Ndio maana Zinny anakaribia kutua, tutaanza Ligi na Zinny
Upande wa kulia Tomiyasu yupo fit, Akisaidiana na Cedric
Saliba karud kuchukua namba za watu
Tunahitaji backup ya Magalhaes, eneo lake ni muhimu
Kuhusu man u na ChelseaHapo kwa Xhaka tukimpata Paqueta au Tieleman ,mmoja Wapo basi Tutakuwa tumebakiza maeneo machache kuwa na watu wawili wawili wa kueleweka
Imagine against United unatoa Xhaka unatia Paqueta au Yuri
Yah ,ila winga Arsenal lazima wamlete wakumsaidia saka,Unavyosema tunahitaji backup ya mgalhaes
Inamaana white na saliba hawawezi kumaliza pale?
Kuna game nakumbuka tomiyasu alicheza 4/5
Mimi naona pale nyuma tunaweza kuwatumia wale wale, technically zaidi na mambo yakaenda
Akija zinny
Kiungo mkabaji
Kuhusu Winga tunaweza kuvuta January
Arsenal inavyocheza kiungo sio priority tena, tunahitaji winger, zinchenko anasolve tatizo la kiungo LCM in short run.Hapo kwa Xhaka tukimpata Paqueta au Tieleman ,mmoja Wapo basi Tutakuwa tumebakiza maeneo machache kuwa na watu wawili wawili wa kueleweka
Imagine against United unatoa Xhaka unatia Paqueta au Yuri
Kuna muda unaona nuno anakitu ila anakosa utulivuSaka
Xhaka
Thomas
Ode
Gab
Gab
Gab
Saliba
Cedric......atasaidia mechi za shambani zile.
Nuno bado ana shida Moja tu hapa nliyoona.
Turner atacheza mechi chache sana msimu ukianza.
Zile sub zilizoingia aisee wengi watafute team nje ya apo wanahitaji kufanya mazoezi mara mbili ya walioanza wakiongozwa na Pepe.
Lile kundi lina watu wachache sana wanaoweza cheza game arsenal waliobaki Kasi yetu imeanza kuwaacha aisee.
Hawapress,hawakimbii, transition wapo so slow.










NilesPepe narudia.
He is too slow, passing yake haitabiriki kama atakupa mpira mzuri au mbaya atakupa kwenye free space au anakupa mtego yaani haeleweki .
Niles alijaribu kukamua lkn unaona kabisa Kuna vitu vinakataa automatically kwenye system.
Aisee wakibaki wanahitaji kufanya mazoezi mara mbili ya nliowataja juu apo.
Wale walioanza wanacheza mpira mkubwa Kuna muda unaona mpira Kazi simple zinavyoguswa zile triangle,one two


, salah...