Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hi timu akishatoka Xhaka nje Arteta Huwa anacheza kwenye formula tofauti yaani.

Oya wale wajomba walioanza Jana walikuwa wanatega mitego balaa na mingi imenasa.

Walikuwa wanapress kama liver vile na first half ilikuwa high line defending style Everton kakamatwa Offside 2 kama sio 3 huku akiwa kafika golini kwetu mara 3 tu kwa dakika 45 muda wote alikuwa anasakwa Partey linameza linatapika madude tu
Partey akiwa fit pale epl game zote tutaangalia vifua wazi
Game na city partey aliishika ile midfield kama yake
Nyekundu ndio ilitutoa mchezon

Partey na xhaka wakikaa pale kati vizuri ndio utaona ubora wa
Odegard, saka, martinel, Rowe, Jesus, nketiah, Vieira,
Maana itapigwa pressing ya hatari sana
 
Sema li Gabriel Maghales Hili mmmmmh 🙌 tuliibia watu hela tulitakiwa tuwape hela kama ya boatman
Sijui kama mmenote Jana kuhusu Xhaka nliona anapiga chenga kama enzi zake za ujerumani...yupo fluidity kwenye passing na touch.

Ule muda unawaza kumtoa anakuonyesha kipya .

Yule Decoure yule ana bahati sana kingemkuta kitu Jana kama refa asingewahi kufika😂😂
 
Attachments

  • IMG_20220717_094231.jpg
    IMG_20220717_094231.jpg
    149 KB · Views: 13
“We can't assure everyone that he will be regular but he will have many minutes to play” Arteta

Huyu dogo atacheza utamuona ni mtu akiwa kaitaka game.

Ile tuzo ya MVP ufaransa Hajapewa Bure mbele ya Tchoumeni,Nuno Mendes ,Hugo Ekitike nk 😂

Yes twendelee kuona ujue Saliba aliyecheza game ya PSG×2 Monaco 2 na Lyon 1 alikuwa mtu hatari sana hizi games ndo zimemsaidia yeye kuwa national team coz alikuwa mtu katili Sana...lkn baadae akaswitch off akawa anakanyaga kwenye level nzuri kama wenzake.

Kwa game nlizotaja apo juu zilizompa sifa sana Saliba akiweza kucheza hivyo for half of season hakuna beki Arsenal anaweza kumweka Saliba nje....lkn Saliba akiwa kwenye siku za kawaida kama yule mliyemuona national team huyu anakaa nje mbele ya White
 
Attachments

  • IMG_20220717_094231.jpg
    IMG_20220717_094231.jpg
    149 KB · Views: 16
“We can't assure everyone that he will be regular but he will have many minutes to play” Arteta

Huyu dogo atacheza utamuona ni mtu akiwa kaitaka game.

Ile tuzo ya MVP ufaransa Hajapewa Bure mbele ya Tchoumeni,Nuno Mendes ,Hugo Ekitike nk

Yes twendelee kuona ujue Saliba aliyecheza game ya PSG×2 Monaco 2 na Lyon 1 alikuwa mtu hatari sana hizi games ndo zimemsaidia yeye kuwa national team coz alikuwa mtu katili Sana...lkn baadae akaswitch off akawa anakanyaga kwenye level nzuri kama wenzake.

Kwa game nlizotaja apo juu zilizompa sifa sana Saliba akiweza kucheza hivyo for half of season hakuna beki Arsenal anaweza kumweka Saliba nje....lkn Saliba akiwa kwenye siku za kawaida kama yule mliyemuona national team huyu anakaa nje mbele ya White
Narudia tena
Kwani saliba na white hawezi kumaliza pale nyuma?

Mimi naona kama inawezekana hivi

Kuhusu ukuta pale nyuma sina wasiwasi hata kidogo

Tena wajinga wajinga kama nyumbu sioni kama watapitisha mpira umfikie kipa
Chelshit watapaki sana bus msimu huu
 
Ongezeni juhudi mtetee nafasi yenu ya saba
 
Kikosi kilichoanza Jana
Leno hakuwa hata sub, Huyu anakaribia kuuzwa Fulham Arsenal wanataka £15m, sio £10m .

Saliba ,Partey , walikichafua Sana

Saka , Odegaard,Jesus wanaelewana

Hawa kina bellerin,Tavares, Nelson, pepe soon watafute timu

Tierney alikuwa na slight injury, So Ndio maana Zinny anakaribia kutua, tutaanza Ligi na Zinny

Upande wa kulia Tomiyasu yupo fit, Akisaidiana na Cedric

Saliba karud kuchukua namba za watu

Tunahitaji backup ya Magalhaes, eneo lake ni muhimu
Vp kuhusu Golia, Matt Turner unamuonaje.
 
Good, mnavyoshambulia jukwaa kwa comments zenu, naona faraja. Muendelee kuwepo jukwaaani wakati wa raha na karaha
 
Stop being restive, I have been told by an impeccable source that Zinchenko move to Arsenal is imminent.
 
Usajili wa Moussa Diaby + Paqueta/ Tielemans unatupeleka kwenye title runs to compete with City, Liverpool & Spurs, few will agree.
Msimu uliopita Ni mancity na Liverpool nadhan ndio walituzid mech nyingi za kushinda

Mech za sare ,sababu ya majeruhi, Partey na Tierney , red card za Xhaka ,ndio factors kubwa zilitutofautisha na Liverpool na city

Msimu huu Arteta na edu wanazifanyia kaz hizo factors ku close the gap kati yetu na hao wawili.

Spurs anasajiri Sana ila ana Moira mmoja TU wa kaunta

Spursy Kuna game anakamatwa kabisa ila anapata matokeo ya ujanja ujanja Sana

Conte atambue epl ya Sasa HAITAKI ujanja ujanja ,

Anamfukuza Reguilon ili amtumie Perisic MWENYE miaka 30+ Kama wingback
 
Usajili wa Moussa Diaby + Paqueta/ Tielemans unatupeleka kwenye title runs to compete with City, Liverpool & Spurs, few will agree.
City na Liverpool tu

Spurs mgonjwa wa kichaa, huwa hawaponi wanapata unafuu tu

Nashukuru kwa kutowaweka wapuuzi wawili hapo kwenye list
 
Back
Top Bottom