Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

OUR PHILOSOPHY

Football should be an Art
IMG_20220716_104705.jpg
 
Fabio Vieira

“Meneja(ARTETA) aliniambia anajua naweza kucheza kama kiungo - #8, #10 - au kwenye winga, upande wa kushoto au upande wa kulia. Wanajua naweza kucheza nafasi tofauti. Binafsi Napendelea nambari 10,

[Gunnerblog]
 
Tapsoba link to Arsenal means technical depth in defence. Napata wasiwasi km tutasajili mid this window. Aaron vipi?
 
Tapsoba link to Arsenal means technical depth in defence. Napata wasiwasi km tutasajili mid this window. Aaron vipi?
Kuna LCB wa rangers highly rated ,tumehusishwa nae

Mm naona ujio wa Zin ,mabeki Hatutasajiri Tena ,tunao mabeki wakati wanne

Saliba,white ,holding, Gabriel,

Huku mwishon kuelekea kufunga dirisha arsenal wamekuwa wasiri Sana,

Hivo waandishi uchwara wanabahatisha Sana

Fabrizio kaambiwa tunashusha winga ila hajadokezwa Ni Nan.

Kuhusu CM hata mm naona ujio wa Zin huenda tusilete ,maana Zin anataka Game time

Sasa Tierny akiwa fit na Zin fit kaz ipo
 
Leroy Sané on Mikel Arteta:

🗣️ "People always ask me about training under Pep, but the things I’ve learnt from Mikel! We get on brilliantly, he’s a lovely guy and a great coach and he’s always right. He’ll watch me at training and then afterwards he’ll tell me what he thinks."
 
Maybe tutamsajili Youri Tielemans kama free agent nxt summer, who knows?
 
Kuna LCB wa rangers highly rated ,tumehusishwa nae

Mm naona ujio wa Zin ,mabeki Hatutasajiri Tena ,tunao mabeki wakati wanne

Saliba,white ,holding, Gabriel,

Huku mwishon kuelekea kufunga dirisha arsenal wamekuwa wasiri Sana,

Hivo waandishi uchwara wanabahatisha Sana

Fabrizio kaambiwa tunashusha winga ila hajadokezwa Ni Nan.

Kuhusu CM hata mm naona ujio wa Zin huenda tusilete ,maana Zin anataka Game time

Sasa Tierny akiwa fit na Zin fit kaz ipo
Holding usimuhesabu, binafsi naona tuna Saliba, White & Gabriel, hawa wengine watafute timu, Holding technical level is so low, umesahau game ya Spurs alichotufanya?
 
Holding usimuhesabu, binafsi naona tuna Saliba, White & Gabriel, hawa wengine watafute timu, Holding technical level is so low, umesahau game ya Spurs alichotufanya?
Asipoondoka anabaki Kama chaguo la 4, ile game spursy asingechomoka , Holding Ni mzuri tayr una matokeo ,unamuingiza kulinda ,kwenye low block
 
Unazungumzia mashabiki? Sisi tunazungumzia kitendo Cha wachezaji wen arse8 kupakuana wengine wabakaji. Mashabiki hao mashoga wako kila timu hata huku kwwtu bongo Kuna mashoga na wasagaji Ni mashabiki wa Simba na yanga.
Mbona Rudiger alikuwa anampakua Lukaku na husemi?

Na sasa mmemuongeza na Raheem Sterling kwenye chama chenu cha kupakuana, mlivyoona anafaa na ule mzigo mkatoa pesa chap chap bila ya kujali kama mmepigwa au la ili mkapakuane vizuri!
images (1).jpeg
images.jpeg
 
The fact that Zinny may be labelled LB on paper doesn’t mean much, when he is playing as an LB. He will spend most of his time in the middle of the park anyway.
 
Arsenal and Manchester City have reached an agreement for Zinchenko in the morning. £30m fee. No doubt, it’s done between clubs. #AFC

Negotiations ongoing on player side for personal terms and salary details, then it will be completed.
 
xhaka kwa system ya arteta na kw nyongeza ya vieira kwnye kikosi ni wkati sasa wa arteta kumjaribu xhaka kwnye position ya partey kwa baadhi ya games ili kuepusha injuries za mara kwa mara za partey au incase partey akiwa amekosekana kwnye mechi basi xhaka anaweza kuw back up mzuri wa partey..
 
🏆Pre season friendly
🏴Arsenal vs Everton
⏰kick-off at 12am (BST)
🏟Ground: M&T Bank Stadium in Baltimore
 
Attachments

  • IMG_20220717_073531.jpg
    IMG_20220717_073531.jpg
    93.5 KB · Views: 16
Back
Top Bottom