Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ukisikiliza mikakati yao tu unajua kabisa hapa dishi halijakaa sawa.Nyie Arse888 mnakuaga na mikakati mikuuubwa mtafikiri mna bonge la timu, msimu ukianza chaliii. Halafu ni kila msimu ni hivi hivi, ndio mana nawaonaga kama kidogo zimeyumba.
Ila wanangu wenyewe wa AsaniWali msimu huu lazima mchukue makombe yote tena mtabeba mpaka kombe la dunia pale Qatar[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]