Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,125
- 7,521
Unasema kweli ila hofu yangu kwake ni kwamba kawauza Jesus na Sterling bila kuwareplace, so kapunguza runners in behind, so either pep asajili natural wide player kurudisha balance or Liverpool washinde Epl nxt season. Sahivi EPL ukikosa balance kumbuka kuna wagumu kama Newcastle, Spurs, pia bado wengine wakubwa wanakungoja, yaani utakubali mwenyewe.pep anajua kureplace wachezaji ,ndio maana anapenda timu zenye pesa
Ameuza ferran tores Lin Kama hakijatokea kitu
Kauza sane ,now Rahim