Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ukiwekewa Zincheko na Martinez ,kuwa mkweli unamchukua Nan?

Tulimtaka Martinez Kama msaidizi wa LB , huyo asingweza kumuweka nje Tierney


Hatukumtaka aje acheze CB sababu Ni mfupi Sana ana 5feet na inch 7
maneno ya mkosaji hayo, nyie endeleeni kutafuta kina Makwinyoz wengine.
 
maneno ya mkosaji hayo, nyie endeleeni kutafuta kina Makwinyoz wengine.
Manyumbu mna mdomo ,tutakutana uwanjan tuwafundishe adabu

4-3-3

Aaron
Tomiyasu White Gabriel Tierney/Zincheko

Odegaard Partey Vieira/xhaka

Saka. Jesus. Martinell


Ukipona Sana 3-0 Safari hii


Mark my words
 
Arteta aliongea na mashabiki akaahidi usajiri bado Kuna watu wanakuja


Zincheko namuona tukimbeba,

Kuna another CM na Winger

Kwa CM hapa anahusishwa Sana Paqueta na Arteta anataka amtumie kwenye 4-3-3 as no 8 double na Ode

It seems deal la Tieleman litatokea endapo Tutamkosa Paqueta


Fabrizio anasema kwasasa Arsenal wanaficha Sana habari zao kuhusu usajiri ,

Inapotokea jina linavuja Kama la Zincheko bas wanakuwa wapo hatua nzuri
 
🔜 Fabrizio Romano on Arsenal’s next steps in the market:

🗣 "I expect Arsenal to move for a new WINGER in the coming days."

[via @QueGolazoPod]
 

Attachments

  • IMG_20220715_175303.jpg
    IMG_20220715_175303.jpg
    38.5 KB · Views: 16
Kama Tierney anatafutiwa back-up/competitor, ingekuwa poa sana hata Partey atafutiwe competitor. Au Elneny ndio back-up ya Partey na anatosha?
Lokonga ndio backup at #6 (Holding midfielder) wala si Elneny, Elneny hawezi kucheza kwenye single pivot, Wote tunaona Elneny akipangwa lazima tucheze na double pivot XhakaElNeny.
 
William Saliba (next season) “My plan is to fight and work with the team, win as much as possible, and grow more. It feels good to be back and starting pre-season. I’m so excited to continue training and playing in the friendly games.”
IMG_20220714_221242.jpg
 
Manchester Evening News: Oleksandr Zinchenko transfer to Arsenal moves closer

MEN: There is still work to be done to agree a fee and personal terms, but enough progress has been made over the last week for the transfer to be seen as a live possibility now by all sides.
 
Pep ana ego, ana kiburi anajiamini

Ukimtaka mchezaji yeyote pale city anakupa , wewe fika Bei TU

Anaamini katika structure, anaweza kuiuza mancity nzima kwa wapinzan wake na akabeba Tena epl

Alikuwa anawapiga bench Jesus na aguero ,namba 9 anaanza na kiungo

Aliwashangaa Sana Totenham kumkatalia kane KUONDOKA
Pep anasema mchezaji yeyote akiomba kuondoka anamruhusu ,

NAPENDA SANA KUJIAMINI KWA PEP
 
Bukayo Saka’s contract extension has always been priority for Arsenal, talks are still ongoing with his agent in order to reach full agreement on long term deal. ⚪️🔴 #AFC

Saka’s happy with Arsenal project, discussing on salary details. https://t.co/v7p0FE8OUs
IMG_20220715_210753.jpg
 
William Saliba ‘to demand transfer from Arsenal unless he’s guaranteed starting spot under Mikel Arteta’.
Nimecopy, sijaongeza neno
 
Arsenal itasajiri winger wa kulia kumsaidia Saka

Upande wa kushoto Hatasajiriwa winger

Ni upande ambao watatumika Smith Rowe na martinell

Kumleta winger wa kushoto Ni kumfanya Smith Rowe akose nafas zaidi au kudumaza maendeleo ya Smith Rowe

Priority ni LCM na LB pia na RW

ZINCHEKO anaweza kucheza vzr LCM na LB,

ZINCHEKO anataka game time Zaid ya kucheza

Maono yangu

Naona akiletwa zincheko basi Hatutasajiri CM ,

Had Sasa Fabrizio anasema ana uhakika tutasajiri winger ila hajapata jina
 
William Saliba ‘to demand transfer from Arsenal unless he’s guaranteed starting spot under Mikel Arteta’.
Nimecopy, sijaongeza neno
Hao wazushi ,nenda website ya arsenal ,leo Saliba kafanya Interview kaongea mengi ,

Huyo aliyeongea hayo Ni Miguel Delaney ,shabik la Chelsea
Baada ya uzushi huo kuvuma

Arsenal leo muda huu wameachia Interview ya saliba

Nenda kaisome
 
Back
Top Bottom