Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji16][emoji16]hii ndo arsenal sasa nayoijua mimi ukiachana na kelele za mashabiki zake.View attachment 2284678
Mpaka mechi hizi mnaomba tupigwe .......... ila umemuona Captain wetu uzi ulivyo mkubali,ulivyo mkaa yaani fuuuuullllll Shkopa.....mitano tena kwa Captain Maguire.

NB: Maguire hauzwi na haondoki yupo kuliongoza jahazi.
1657271787797.jpg
 
Kuhusu Ishu Ya Partey..

Kuna mwandishi Mmoja Kutoka Ghana Amechunguza kwa Familia na Ndugu wa Karibu Wa Thomas Partey na Hiki Ndicho Alichosema kuhusu Hii kesi..

Anasema Mchezaji Kutoka London ambaye anahusika na Kesi Ya Ubakaji mwenye Miaka 29 inaaminika ni Thomas Partey

Anasema aliyemuwekea mtego huo ni Mpenzi wake wa kike Aitwaye Sarra Bella

Yakaletwa Mashtaka Yote na Mamlaka Husika iliyokuwa inafuatilia Kesi dhidi ya Partey na Kujiridhisha kwamba Hakuna Ushahidi wa Kutosha Kuweza Kumhukumu Partey

Na Inasemekana Mpenzi wake alimfanyia hivyo baada ya kumtembelea Partey huko Spain eneo la Mabella ambapo ana nyumba na Kutaka afunge nae ndoa Partey Akagoma kwa wakati huo .
Partey aliwaambia Wandishi wa Habari Kuwa Alibadili Dini na kuwa Muislam Sababu Ya Mwanamke Huyo Huyo ambaye alimuwekea Mtego wa kesi hii aitwaye Sara bella..

Soon Partey atakuwa Safe kama mambo hayatabadilika...

Funzo: La Kwanza Team ikiwa Upande wako watakufichia kila kitu chako hadi mwisho ijulikane kama umezingua au isijulikane kama umesingiziwa katika hiki Arsenal wako juu sana

Funzo la.pili.. Wanawake wengi Tunaokutana nao Ukubwan tukiwa na mafanikio wengi wao hawana upendo sababu wako after Money.. Choose wisely mtu gan unaenda Kumuoa sio kila anayekupenda ukiwa na hela ni mwanamke wa kuoa..

IMG_20220709_114205.jpg
 
View attachment 2285111
Miafrika (players)haikomi wana akili fupi sana kwenye mapenzi they don't want to learn angalia Eboue ni mfano mmojawapo
 
Leno tulimpata kwa 20m. Tunamuachia kwa 10m. Tutakuwa tumekubali hasara ili Arteta aunde team anayoona inamfaa. Tunaendelea kama ilivyokuwa kwa Ozil, Auba nk. Mpira kwanza, biashara baadae. Siyo mbaya.
 
All allegations put on Thomas partey have been resolved after finding it out that they were just allegations with an intension.💯🙏
Martin Odegaard, Thomas Partey, William Saliba and Bukayo Saka, Granit Xhaka, Aaron Ramsdale and Tomiyasu will join the Arsenal Squad by Tuesday.
 
namkubali Kante ingawa sidhani kama anaweza kuja. Nasikia amekuwa anasumbuliwa na majeraha siku hizi. Atafaa kucheza na Partey na pia kama mbadala wake jamaa atakapoumia. Shida wakiumia wote
Habar ya kante imeikanushwa,

Sijui kwann bado inajadiliwa sana
 
Jana nilikuwa nasikiliza kipindi cha wasafi cha sports court. Aisee wale jamaa kwa kweli hawajui wanachoongea na kuna mambo wanaongea kama ingekuwa wenzetu wanasikiliza wangejiingiza matatizoni

Eti ooh Kante ataisaidia sana arsenal kwasababu Partey ana kesi mbili za ubakaji. Nani aliwaambia hicho kitu

Halafu Lewandoski anataka kwenda Chelsea. Nyie nyie.

Hiv wanatuona hatufuatilii au

Na wakasema eti Lisandro amegoma kuhudhuria mazoezi kwasababu anataka klabu yake imuachie kwenda manchester. Huyu Lisandro ambaye kila siku namuona mazoezin na wenzake
Halafu nani aliwaambia partey ana kesi ya ubakaji. Hawaoni vyombo vya wenzao hawajataja mchezaji kwasababu sio maadili ya uandishi hata kama unamjua

Kwasasa Hapa bongo UFM nimeona nakugundua wanajitahidi kwa habari za MICHEZO,

Redio nyingi wapo makanjanja wakutangaza Kamari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom