Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

TIERNEY auzwe anatujazia nafasi Arsenal ni good player but for this season acha aende zake ,martinez atafutwe kwa nguvu zote hatuwezi kuwa na player aina ya Diaby
 
[emoji16][emoji16]hii ndo arsenal sasa nayoijua mimi ukiachana na kelele za mashabiki zake.
Screenshot_20220708-192027.jpg
 
Kuna mchambuz kwenye redio fulan analipwa kabisa mshahara amekaa anasema Arsenal mech ya kirafiki ya kwanza amefungwa 3-2 ,

Hivi Hawa wachambuz wanawaokotaga wapi? Hawana muda wakufatilia vitu kwa undani?

Umeajiriwa ,unakula ,unasomesha kwa kazi hiyo, lkn unakuta mchambuz amekaa kwenye redio anadanganya watu .

Kuna watu hawapendi kabisa kazi zao
 
NAANDIKA NAFUTA NAANDIKA NAFUTA,

NAHITAJI MUDA KUMUANDIKIA MAKALA HUYU MWAMBA JACK WILSHERE

Nitamkumbuka 2014 Katikati ya mitaa ya London ,wakati wa parade ya FA CUP

Akiwauliza mashabiki wa arsenal

JACK :Vipi kuhusu totenaham?

Fans: Was**nge

JACK : Nani was**nge

Fans: Totenham

Leo anakaribia kurudi nyumban Arsenal kuitumikia klabu anayoipenda Sana.

MAJERUHI YAMETUNYIMA MENGI KUTOKA KWA JACK WILSHERE.

🟢Jack Wilshere will be the Arsenal under 18s head coach after announcing his retirement. (@David_Ornstein)
 
NAANDIKA NAFUTA NAANDIKA NAFUTA,

NAHITAJI MUDA KUMUANDIKIA MAKALA HUYU MWAMBA JACK WILSHERE

Nitamkumbuka 2014 Katikati ya mitaa ya London ,wakati wa parade ya FA CUP

Akiwauliza mashabiki wa arsenal

JACK :Vipi kuhusu totenaham?

Fans: Was**nge

JACK : Nani was**nge

Fans: Totenham

Leo anakaribia kurudi nyumban Arsenal kuitumikia klabu anayoipenda Sana.

MAJERUHI YAMETUNYIMA MENGI KUTOKA KWA JACK WILSHERE.

🟢Jack Wilshere will be the Arsenal under 18s head coach after announcing his retirement. (@David_Ornstein)
Mkuu katafute makala moja inaitwa "Started early and ended early"........ Mwandishi kamzungumzia kwa uchungu mkubwa sana Jack Wilshere

Jack alianza kutrain na first team akiwa na umri mdogo sana
 
All 5 goals came after Gabriel Jesus movement and aggression.

His presence in box is what we lacked.
 
Mkuu katafute makala moja inaitwa "Started early and ended early"........ Mwandishi kamzungumzia kwa uchungu mkubwa sana Jack Wilshere

Jack alianza kutrain na first team akiwa na umri mdogo san
Ngoja niisake ndugu yangu
 
Usiku ule , ule ni usiku uliojaa Furaha katika kila nyuso ya mwanafamilia wa Arsenal usiku ambao Xavi Hernandez anakumbuka ,usiku ambao kwa kinywa na utimamu wake aliweza kuongea na kusema "pengine hakuzaliwa England " kwa maana aliwachisha na kuwafanya wajione si kitu mbele yake ,unakumbuka utatu katika midfield ya Barca? Namaanisha Xavi , Iniesta na Busquart .
Alijimilikisha dimba ,alicheza alivyojisikia kwakweli aliwashitua wengi Sana kwakua kila team ilipambana na Barca huku wakijiuliza ni Nani wakufunga ule utatu kengele? Ila kwake alifanikiwa.

Ulitaka kuona jasho lake la mwisho? Ulitaka kuona mtu aliyepambania nembo? Ulitaka kuona mfalme DAUDI mbele ya Goliath? Au ulitaka kumuona shujaa wa namna gani?

Kwake Arsenal ni kila kitu utamuambia Nini akuelewe? Alichojua ni kupambania nembo ya team hata kwa njia hatarishi , Aliwahi kuwaambia Mashabiki wa Spurs Kama wakimaliza juu ya Arsenal atawalipa pesa wakati huo yeye ni majeruhi utamuambia nn akuelewe kuhusu Arsenal?

Mwaka wa 1992 alizaliwa huyu kijana mwenye upenzi wa dhati kabisa na timu yetu ,akapita alikopita mwaka 2001 alijiunga rasmi na team zetu za watoto akitokea Luton town , pale Hale End akakutana na mwalimu Roy Massey aliyemuamini na kumfanya kuwa miongoni mwa graduates Bora kabisa kupata kutokea katika shule za vijana pale Arsenal .

Pengine carrier yake ilipangwa kuwa fupi Sana au alitumika Sana katika umri mdogo lakini Safari yake Kama anavyoeleza mwenyewe ilijaa na nyakati nyingi za huzuni majeraha yalikuwa Rafiki yake kwa muda mwingi.

Lakini anajivunia Sana kuishi katika ndoto zake kwanza kabisa anasema kuchukua 2 FA cups na kuwakilisha team ya Taifa ya England katika world cup ni mafanikio makubwa Sana katika maisha yake .

Happy retirement Jack Wilshire hakika kila mtu anajua ulikuwa kamanda wa namna gani.

IMG_20220708_202832.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom