joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 18,850
- 39,520
Sawa ila sisi tunashukuru Captain wetu Maguire kaanza mazoezi.Dah japo leo mmecheza kwa kificho ila tumejua bwanakuwa mmepigwa
![]()
Sawa ila sisi tunashukuru Captain wetu Maguire kaanza mazoezi.Dah japo leo mmecheza kwa kificho ila tumejua bwanakuwa mmepigwa
![]()
Unaonekana unaumia so kaa nyuma ya spika then sikilizia mdundo wa Jesus.
DahArsenyeto mnaendelea pale mlipoishia kwenye vipigo
Ni mwendo wa kubanduliwa hata mechi za mchangani


hafu wamevunga kama sio wao walio tandikwa 3 leo

Sasa sisi wenye timu yetu tumemsajili.Endelea kuumia au wewe ulitaka tumsajili nani?Aumie kwa jesus kweli?? Huyu ndio wa kumlinganisha na Aubamayeng!!! Hata robo hafiki.
Sasa sisi wenye timu yetu tumemsajili.Endelea kuumia au wewe ulitaka tumsajili nani?
Kwa hiyo wewe kwenye timu yenu Lautaro Martinez hafai?Lautaro angewafaa sana,
Kwa hiyo wewe kwenye timu yenu Lautaro Martinez hafai?
Naona mmemsajili Sterling, mtakaanga sana Chips msimu huuPopote pale unaliwa, iwe mchangani au kweye pitch😂😂
Naona mmemsajili Sterling, mtakaanga sana Chips msimu huu
Hee kumbe shabiki wa Chelsea, so kwa hiyo nyie Lautaro hamumtaki?Sheikh89, sterling na yesu ni mbingu na ardhi. Sterling ni mashine, hata ivyo cjafurahia kuondoka man city.
Arsenal anaanza kesho preseason , mech zake hiz hapaDah japo leo mmecheza kwa kificho ila tumejua bwanakuwa mmepigwa
![]()
Unaleta matokeo ya arsenal ya vijana?Na leo wamebanduliwa 3:2
Hao wachezaji wanaoonekana hapo unaweza kuwataja ?
Aliyekataliwa ni Chelsea ,Ndiye aliyopeleka pesa kwa Leeds ,Raphina akagomaNasikia mmekataliwa na Leeds na Raphina 😁😁 hii ni nuksi wazee.
Kocha hasajiri imlimrad anasajiri mchezaji anayefit anavyotaka yeye,Lautaro angewafaa sana,