Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Umeona ulivyokua na uelewa mdogo.Nakusaidia kitu.
Niweke kwenye ignore list.
Binafsi sijawahi kukuona kwenye uzi wowote wa michezo so naamini umetokea jukwaa la mapenzi na unaleta vibes za kuvamia kila unayemuona.
Huu sio ushabiki ni upuuziAser8 akicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani na kanga moja imelowa maji, huku wanatingisha wowowo wakisema chukua yote.
Inafikirisha sana hiyo mkuu,Huyu ni miongoni mwa wachezaji nilioamini watakua star Arsenal.
Timu za Italia zimesemwa sana wiki za nyuma kutokana na ubahili. Mfano Inter mwaka jana wamemuuza Lukaku kwa 90M mwaka huu wanaambiwa watoe 10M wakae naye kwa mkopo wakasema wana 5M.
Fiorentina ilikubaliana na Arsenal kulipa 15M mkopo umeisha Fiorentina anasema hana nia ya kulipa. Yaani hana nia ya kulipa kwaajili ya mchezaji ambaye amecheza kwake msimu mzima huku Kocha akisema anataka jamaa abaki.
Pia kuna shida moja mfano timu ndogo ya italy inakubali kumuuza mchezaji Juve kwa 60M ambayo atalipwa kwa awamu na anakataa 60M ya mara moja kutoka klabu ya nje ya italy
Bwana Fabrizio akaongezea na hiiIle jina la Arsenal kutumika kuboost bei ya mchezaji imeendelea mpaka kwa Aaron Hickey.
Alitajwa kutakiwa na Arsenal. Brentford wamepanda dau mdau wa Twitter akaikashifu Arsenal ila Fabrizio akaweka hali sawa.
View attachment 2279350
Nigga kama haujaelewa vizuri hiyo ni namna yangu ya kistaarabu kukuambia fvck offUmeona ulivyokua na uelewa mdogo.
Mavi kunuka.Nigga kama haujaelewa vizuri hiyo ni namna yangu ya kistaarabu kukuambia fvck off
Matusi ndiyo unayoweza. Sasa mtu kama wewe huwezi kukaa meza moja na mimiMavi kunuka.
Unamtania nani sasa ?fans wa Arsenal au wapinzani?Nketiah has a killer mentality, itambidi Gabriel Jesus apiganie nafasi yake before Nketiah hajaichukua
The 25 year old Spanish left back is thought to be worth around £7 million and Mikel Arteta is keen to bring in defensive reinforcements in the left back role this summer [ @record_portugal ] https://t.co/Dni1YxeowDHapo wanapotezwa maboya wakijazana huku watashangaa tu anatambulishwa Zichenko#Arsenal have made an official enquiry for the Benfica left back Alex GrimaldoThe 25 year old Spanish left back is thought to be worth around £7 million and Mikel Arteta is keen to bring in defensive reinforcements in the left back role this summer [ @record_portugal ] https://t.co/Dni1YxeowD
Ni swala la muda kabla: nyumbu, spurs, chelshit kuhamia hili chaka




Hawa wapuuzi sasa hivi ni kuwalisha matango pori tuHapo wanapotezwa maboya wakijazana huku watashangaa tu anatambulishwa Zichenko
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app


mkorea, tavares hatukumtoa benfica kweli? Je huyu jamaa alikuwa back up ya tavares pale?#Arsenal have made an official enquiry for the Benfica left back Alex GrimaldoThe 25 year old Spanish left back is thought to be worth around £7 million and Mikel Arteta is keen to bring in defensive reinforcements in the left back role this summer [ @record_portugal ] https://t.co/Dni1YxeowD![]()
Ni swala la muda kabla: nyumbu, spurs, chelshit kuhamia hili chak
#Arsenal have made an official enquiry for the Benfica left back Alex GrimaldoThe 25 year old Spanish left back is thought to be worth around £7 million and Mikel Arteta is keen to bring in defensive reinforcements in the left back role this summer [ @record_portugal ] https://t.co/Dni1YxeowD
Ni swala la muda kabla: nyumbu, spurs, chelshit kuhamia hili chak
Alipandishwa kutoka benifica Bmkorea, tavares hatukumtoa benfica kweli? Je huyu jamaa alikuwa back up ya tavares pale?
Nketiah has a killer mentality, itambidi Gabriel Jesus apiganie nafasi yake before Nketiah hajaichukua
DadekWanatuiga sana hawa chawa.. wasisikie tunamtaka mchezaji, washaleta pua zao.
View attachment 2279941