Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Lukaku haendani na mfumo kivipi?

Ametoka united kwenye back four akaonekana hafai akaenda milan kwenye back 3 akaonekana hatari.

Amekuja kwenu kwenye back 3. Na pamoja wewe kudai haendani na mfumo jamaa anaondoka huku akiwa ndiye top scorer wenu. Hoja ya mfumo inaingia akilini hapo?

Mi naona tuchel siyo mzuri kwa kiasi mlichomfikiria.
 
Antony hana pace, tunahitaji mchezaji kama Saka anayecheza kwenye isolation role, quick enough to beat his man in 1v1, Cutting inside from the RW, anayeweza kucheza kwenye both wings, left footed right winger.
 
Kwa kuwa kwenye Market established profile kama Raphinha ni chache (i.e Di maria ambaye umri umeenda) inavyoonekana Arsenal watatafuta right footed LW mwenye uwezo wa kucheza RW, kichwa kilikuwa kinanambia kama Raphinha angekuja Arsenal i'm sure angechukua RW spot & Saka kushift LW.
 
Room ya Gnaby alf namuona ni hatari zaid kwenye RW ,Saka anabaki kule kule kwenye LW
 
Wewe unatumia nini kufikiri? Sasa akiwa wapili ndio nini?? Yaani kuwa mjinga wa pili na kuwapiga wajinga wengine 18 ndio unajisifia?? Raphinha is over priced.
 
Uwezekano wa kumsajili Tieleman ni zero. Arsenal ilipanga kusajili CM mmoja na tayari Vieira amesajiliwa and it looks likely what happened to Raphinha could happen to Martinez with Man United set to hijack the move.
 
Uwezekano wa kumsajili Tieleman ni zero. Arsenal ilipanga kusajili CM mmoja na tayari Vieira amesajiliwa and it looks likely that what happened to Raphinha could happen to Martinez with Man United set to hijack the move.
Who cares?
 
Room ya Gnaby alf namuona ni hatari zaid kwenye RW ,Saka anabaki kule kule kwenye LW
Sure, ila mshahara wake sasa!, kitu kingine anaweza kuwa star kuliko kocha so akatengeneza toxic environment in dressing room when things are getting worse.
 
Wewe unatumia nini kufikiri? Sasa akiwa wapili ndio nini?? Yaani kuwa mjinga wa pili na kuwapiga wajinga wengine 18 ndio unajisifia?? Raphinha is over priced.
Mount na ziyech wapo kwenye top 10 ya midfielders waliotengeneza nafasi nyingi kwenye ligi kuu
 
Mount na ziyech wapo kwenye top 10 ya midfielders waliotengeneza nafasi nyingi kwenye ligi kuu
Jamaa yangu unafurahishaga kitu kimoja, we kila unaporeason issues huwa ni kushindana tu nani ni mkali kuliko mwingine.
 
Yaani aRse88 ni vichwa maji, kisa Rhaphina mmeshindwa kumchukua ndio manasema ataflop, kw hiyo kama angekuja kwnye katimu kenu kamichongo asingeflop.
Hatujasema ataflop. Tunachosema ni overpriced. Mwenye akili ni yule asiyeng'atwa na nyoka mara 2 eneo moja.

Kama pepe hajatupa somo basi tena. Nyinyi endeleeni na ulukaku wenu
 
Yaani aRse88 ni vichwa maji, kisa Rhaphina mmeshindwa kumchukua ndio manasema ataflop, kw hiyo kama angekuja kwnye katimu kenu kamichongo asingeflop.
Apart from all nonsense bado hatuoni akifanya vizuri under 343. Ubora wake kudrible from the touchline, Tuchel system inamuhitaji kucheza centrally as #10/ half space player, wakati touchline inakuwa occupied by Reece James. Maybe kama anaenda kucheza Wingback.kuna mazingira Systems zinanullifie ubora wa mchezaji i.e Ziyech
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…