Anachokifanya Man u kwa barca ndicho Arsenal tunakifanya kwa Tieleman
Kuna Mambo ya kifedha inatakiwa kufikia alhamis Barcelona awe ameyaweka sawa ,
Karibu mwez mzima Barca alikuwa anakaza akitaka €85m kwa FDJ, lkn Man u walijua Barca anaihitaji hiyo hela imsaidie , na aondoshe mshahara wa FDJ, so Man u wakakaza mwisho £65m ,wakijua Barca atalegea tu si ana shida .
Now Zimebaki Siku 2 Barca inaonesha ameshalegea ,Awali Barca alijua Man u akitajiwa €85m(£80m) angetoa , lkn Inaonesha Man u wamebadili hata utaratibu wao wa Kunegotiate.
NIJE SWALA LA ARSENAL NA TIELEMAN
Leicester inasemekana wanataka £40-45m kwa mchezaji ambaye amebakiza mwaka mmoja,
Arsenal wameshamalizana nae personal term , na wanapambania Priority Nyingine , Wanajua mwisho wa dirisha , Leicester ataogopa kuja kumpoteza Tieleman bure ,na hapo Tieleman alishagoma kuongeza mkataba,
Hivo kwa presha ya kumpoteza Bure ,itawapasa Leicester amuuze kwa Bei ambayo Arsenal amemthaminisha £20-25m
Hii ilitokea kwenye usajiri wa Aaron Ramsadale , Sheffield walitaka £40m , Arsenal akasubiri haddi dakika za mwisho , mchezaji akaandika Barua ya kuondoka, ikawabid Sheffield washushe Bei had £30m