Anigrain
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 1,698
- 4,284
Jamaa anafanana kila kitu na Manara, yupo Yanga ila anaongoza Kwa kuiongelea Simba, kwenye kila maneno 10 basi Simba imetajwa mara 7Mkuu unaifatilia arsenal kuliko unavyoifatilia man u
leo nimeamini We all born to be the GUNNERS
Bangi tu ndio imetutenganisha
![]()
Sasa ni Sawa na ndugu yetu huyu, utadhani kwenye jukwaa lao kuna harufu mbaya, maana hakai kule akatulia ni lazima tu utamkuta huku


