Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Let's wait n see!
Screenshot_20220616-165023_Twitter.jpg
 
trh 5/8 viera vs Arteta again, msimamo wangu uleule Arteta> Viera, lets kaa kwa kutulia.
 
Anacheza right hand side, maybe atatumika RCM anarotate na Ø, inaonesha nafasi ya Tielemans LCM ipo, Kama sivyo basi mmoja kati yao wawili atashift left.
Vieira ni AM hivyo atacheza upande wowote akimsaidia Odegaard atakaecheza nyuma yake.

Atakuwa akicheza kama Bernado Silva au Gundogan wa City ambao hutengeneza vyumba kwa mshambuliaji na pia kufunga magoli.

Hiyo yamaanisha kwamba Emile Smith Rowe atakuwa akitokea bench.

Vieira atasaini mkataba wa miaka 5 na Arsenal wametengua mkataba wake na Porto ambapo kulikuwa na kifungu kinachotaka Euro milioni 50.

Hii ni shock move kwa sababu hakuna aliefahamu na Arsenal safari hii wamejifunza kucheza na transfer market.

Bissouma ni kiungo mzuri lakini ni mlinzi zaidi kuliko kutafuta vyumba ambapo Arsenal walikosa kiungo wa namna hiyo.
 
Back
Top Bottom