hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,622
- 27,310
🚨 David Ornstein | Kwa upande wa mabeki Lisandro Martinez ndiye kipaumbele cha Arsenal katika dirisha hili.
Arsenal wanataka mtu anaeweza kucheza Beki wa kati wa upande wa kushoto na beki wa kushoto.
Lisandro mwenyewe yuko tayari kucheza Arsenal.
Arsenal tayari wametuma ofa ya €30m lakini Ajax wameikataa lakini Arsenal hawajakata tamaa bado na wataendelea kupambana kumpata beki huyo Muargentina.