Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

scouts wa Arsenal ni kama vibaka, wanakula hela ya bure. una-scout nini kama huwezi kumuona mchezaji kama Cucurella, na kuanza maongezi mapema?
Wanaogopa
IMG_20220610_114548_341.jpg
 
Gabriel Jesus’ gonna join a Premier League club this summer - and not Real Madrid, as explained two days ago. More to follow soon. #MCFC

Gabriel will leave Man City for sure, no changes expected.
 
Hivi hili deal halikamiliki tu
 
Gabriel Jesus’ gonna join a Premier League club this summer - and not Real Madrid, as explained two days ago. More to follow soon. #MCFC

Gabriel will leave Man City for sure, no changes expected.

Next season city mbele Kuna sterling ,foden ,Mahrez , halaand, Julian Alvarez...

Jesus anaforce kuondoka Kwan atakuwa na game chache sanaa mbele ya hao miamba....ila arsenal hamuwezi kutoa £50millon kwa jesus😅😅..

Sijui manataka mchezaji gani Tena maana jesus akipewa match nying lazima atakupa magoli tu ,anaweza kutokea pembeni,kutumika kama striker ,ana nguvu ,anajua kuforce kupenetrate kwenye box ,jesus kukupa penalty ni kitu cha kawaida ,anauzoefa na PL ....

Any way wacha tuone 🔥🔥
 
Next season city mbele Kuna sterling ,foden ,Mahrez , halaand, Julian Alvarez...

Jesus anaforce kuondoka Kwan atakuwa na game chache sanaa mbele ya hao miamba....ila arsenal hamuwezi kutoa £50millon kwa jesus..

Any way wacha tuone
Hawa wakora wameshazoea kununua wachezaji wa mafungu mafungu, £20m anapata wachezaji 6 mpaka 7 halafu nyinyi mnawaambia watoe £50 kwa mchezaji mmoja kweli???
Nyie kama mnataka kuwasaidia wapeni bure tu huyo Gabriel maana wenzenu wameshaanza kulialia kua:
"City hawana shukrani tuliwauzia nasri,clichy,sagna na adebayor ila wao kutupa jesus wanaona nongwa"
 
Next season city mbele Kuna sterling ,foden ,Mahrez , halaand, Julian Alvarez...

Jesus anaforce kuondoka Kwan atakuwa na game chache sanaa mbele ya hao miamba....ila arsenal hamuwezi kutoa £50millon kwa jesus..

Sijui manataka mchezaji gani Tena maana jesus akipewa match nying lazima atakupa magoli tu ,anaweza kutokea pembeni,kutumika kama striker ,ana nguvu ,anajua kuforce kupenetrate kwenye box ,jesus kukupa penalty ni kitu cha kawaida ,anauzoefa na PL ....

Any way wacha tuone
Mwanangu unafaa kuwa dalali
 
IMG-20220612-WA0006.jpg
 
Tumempata Marquinhos as a future prospect na ni replacement ya Nicola Pepe in the long run, Nicolas pepe has skills and lacks mentality of a great player. Hili chama lishakuwa la Wabrazil.
 
Sio tatizo mku kuw na brazil wengi, kumbuka wenger na wa faransa,,

Issue ni we need to back in our level ya ushindani..

Daah hawa wachezaj wa mafungu, ila ngoja tuone. Kuna kitu arteta anatak kutuaminisha msimuhuu

Ila pepe sizan kama ataondoka na akiondoka nay safi tu no body car na akibak safi pia.
 
I love Brazilians, ila Pepe hana future Arsenal na lazima wakala wake atamtafutia timu this window, Replacement ya pepe ni Raphinha in the short run. Raphinha kurotate na Saka, at times anacheza left hand side.
 
msimu ujao kati ya matinell au saka mmoja tutampoeza
 
Back
Top Bottom