Wanatubania sana hawa jamaaman city wanaogopa ya RVP kwa arsenal baada ya kuhamia man u.nilishasema hapa jesus au man city wanaitumia arsenal kwa pamoja.city wapate transfer fee ya maana na mchezaji apate mkataba wa maana.hii tunaita win-win situation na tusipoangalia arsenal tunapotezewa muda.
jamaa hawana shukrani tuliwauzia nasri,clichy,sagna na adebayor ila wao kutupa jesus wanaona nongwa