toobiter
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,428
- 2,813
kuna wakati unahitaji a bull striker jamii ya diego costa,drogba yaani mtu ambaye he is so bullying kwa opponent defenders,na kuna muda unahitaji brain,tactical and agressive defender jamii ya eduado da silver yaani, pia kuna muda unahitaji hunter -striker yaani yeye anaonekana wakati wa tukioili angalau tuitwe timu ya ushindani lazima tupate watu first class katika maeneo yafuatayo
mabeki wawili(kulia na kushoto)
kiungo mkabaji mmoja na kiungo mshambuliaji mmoja ambaye ni driver na transisitive,washambuliaji wawili wanaotofautiana sana aproach zao