anaweza kuwa useful?Tolisso amekua free agent.
Ni mzuri.anaweza kuwa useful?
atatusaidia angalau,maana adhabu ya ufinyu wa kikosi tuliyoipata mwaka huu ni kubwa saana na tutaona madhara yake kwenye usajiliNi mzuri.
Ana technic, skills, anakupa forward runs na anascore ila siyo mtamu sana kwenye vision na kukaba
vision nikama natural gift,ila kukaba kunafundishika akiwa tayariNi mzuri.
Ana technic, skills, anakupa forward runs na anascore ila siyo mtamu sana kwenye vision na kukaba
Kuna ripoti zinasema Arsenal inamtafuta Jesus na Zinchenko kwa pamojavision nikama natural gift,ila kukaba kunafundishika akiwa tayari
nimejaribu kufuatilia kwa karibu kupitia vyanzo mbalimbali nikama jesus anaitumia arsenal kupata klabu mpya,pia anaweza kuamua kuja arsenal kama last option baada ya kukosa "A B C" optionsKuna ripoti zinasema Arsenal inamtafuta Jesus na Zinchenko kwa pamoja
Hiki nimekihisi pia.nimejaribu kufuatilia kwa karibu kupitia vyanzo mbalimbali nikama jesus anaitumia arsenal kupata klabu mpya,pia anaweza kuamua kuja arsenal kama last option baada ya kukosa "A B C" options
Hiki nimekihisi pia.
Halafu kwanini Arsenal wasifosi kumsaka De Jong? Kile ni kifaa na kama yupo tayari kunegotiate na united sioni kama Arsenal hatuna chance
We need LCM, anaweza kucheza LCM? Why?Ni mzuri.
Ana technic, skills, anakupa forward runs na anascore ila siyo mtamu sana kwenye vision na kukaba
Anakata matumaini sana huyu jamaa.Edu na Arteta wamelala sana kwenye swala la usajili toka Edu kaja pale Arsenal sijawai kuona kachangamka sana kwenye swala la usajili zaid ya kuviziavizia tu
Mara nyingi namuona akitokea kulia lakini kwa uwezo wake siwezi kushangaa akiimudu nafasi ya kushoto.We need LCM, anaweza kucheza LCM? Why?
Jamaa mnamlaumu bure tu kumbuka swala la usajili sio la kukurupuka alaf kumbuka kwa tim kam Arsenal imekosa ushawish kwa wachezaj kuhamia. huwez ku compete na tim kam Chelsea Liver ManCity otherwise ni ku overprice mchezaj ili umpate la sivyo utaishia kupata wakna Lokonga na Tavarez.Anakata matumaini sana huyu jamaa.
Ila mimi nalaumu uongozi mzima. Naamini Arsenal ilibidi tuwe na Wenger on board kama director. Na huyu ndiye angeisuka timu na wachezaji wa kuendana na timu.
Na angekua kivutio kwa wachezaji.
Isco hadi anakua free agent game time hakua akipata na nafikiri ana miaka 30 sasa hivi atakua na tofauti gani na Luiz na Willian walioondoka?Jamaa mnamlaumu bure tu kumbuka swala la usajili sio la kukurupuka alaf kumbuka kwa tim kam Arsenal imekosa ushawish kwa wachezaj kuhamia. huwez ku compete na tim kam Chelsea Liver ManCity otherwise ni ku overprice mchezaj ili umpate la sivyo utaishia kupata wakna Lokonga na Tavarez.
Sio rahis kupat player wa quality ya Juu akakubali kujiunga arsenal kirahis ndoman Saiv arteta anajitahid kujenga Legacy yake ili tim iwe na ushawish kwa Wachezaj.
Mfano kuna ma free Agent world class players saiv Kam Isco ni mchezaj mzur lakn huwez kum convice kuja Arsenal kwasbb tim imekosa mvuto perfomance mbovu kwahy lazm upambane upate Professional Player wa Kuikuza tena club kweny status yake ndipo Tuanze kusajil majina makubwa kam wenzetu.
Au tustick na second best kwa baadhi ya namba
Mfano unamtaka De jong lakini ana ushindani mkubwa so unaopt anayekaribiana naye kama vike Melo.
Kukimbizana na first options ni headache kwa sasa hivi mambo ya Locatelli na Vlahovic yanaweza jirudia unless umuahidi mtu atalelewa kama yai, mshahara kufuru na mabonus mengi mengi. Tabia hii ndiyo ilitupa kikosi kinachokula pesa nyingi ila haiendani na performance
Au tustick na second best kwa baadhi ya namba
Mfano unamtaka De jong lakini ana ushindani mkubwa so unaopt anayekaribiana naye kama vike Melo.
Kukimbizana na first options ni headache kwa sasa hivi mambo ya Locatelli na Vlahovic yanaweza jirudia unless umuahidi mtu atalelewa kama yai, mshahara kufuru na mabonus mengi mengi. Tabia hii ndiyo ilitupa kikosi kinachokula pesa nyingi ila haiendani na performance
Isco hadi anakua free agent game time hakua akipata na nafikiri ana miaka 30 sasa hivi atakua na tofauti gani na Luiz na Willian walioondoka?
Ni kweli timu yetu haina ushawishi? Buendia tumemkosa kaenda villa, Guimaraes tumemkosa kaenda Newcastle na Paqueta anaenda Newcastle.
Edu kwakua aliona timu inavyostruggle alitakiwa awe na diary ina majina pendekezwa ikisubiri dirisha lifunguliwe. Si kuna scouts? Hawajampa option? Timu haikusajili january ikasema itasajili kiangazi muda umefika wamejifungia kama vile sasa ndiyo wanaanza ukaguzi.