Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
"Conte angekuja toka mwanzo Spurs ingekuwa mbali sana" bila kujua Nuno kafukuzwa kipindi Spurs na Arsenal tofauti point mbili , so Conte kastrength january Kulusevski & Bentancur + Kane & Son in best X1 ila wanavyomuhype kama kaoverachieve something big. View attachment 2231066

Huyu kulisevski niliona tetesi january tuliusishwa nae sana ila sijui wapi tulifeli
 
"Conte angekuja toka mwanzo Spurs ingekuwa mbali sana" bila kujua Nuno kafukuzwa kipindi Spurs na Arsenal tofauti point mbili , so Conte kastrength january Kulusevski & Bentancur + Kane & Son in best X1 ila wanavyomuhype kama kaoverachieve something big. View attachment 2231066
Conte kaja Spurs wakiwa 2pnts behind arsenal, come end of the season yupo 2pnts above arsenal, yaani kapata 4pnts ili kumpita arsenal. Kwako hiyo sio achievement? Kwenye mpira vitu vidogo vina count, ndio maana yeye anaenda CL sisi tupo europa. Hoja ya ku strengthen hiyo kwangu haina mashiko coz we all had the chance to strengthen, sisi hatukuliona hilo tukashupaza shingo, now we're out.
 
Technically spurs are on the ceiling of their game while Arsenal still kuna room for improvement, tunaposema Spurs wamestrength january mean that wapo at end game quality wise, while Arsenal kuna potential ya kushowcase kwa kuadd more quality.

Hoja yangu ni kuwa Spurs' technical level is so high ila kwanini wanacompete top four na Arsenal ya Nketiah, Holding, Elneny, Cedric & Tavarez? The game has moved on and Conte needs to control every facets of play to compete at elite level, so naporeason hivi vitu najaribu kuproject in the long run ila wewe mshamba unaona hapa. Bahati mbaya mpira hujui so sikulaumu.

so conte ni bora kama akipata uefa kwa 2 points gap? na kama arteta akifuzu anakuwa bora kuliko Conte? Idiot.
 
Ila sisi Aser8 tulipata muda mwingi wa kujipanga, wakati wenzetu wanacheza michuano mingi UCL, EUROPA, sisi tumepumzika.

Bado tumetolewa CARABAO, FA na TOP 4 iko hati hati kuipata.

Kwa kweli tulistahili kuchukua ubingwa EPL kwa advantage ya kutokuwa kwenye mashindano mengi.

Kocha ametuangusha, wachezaji wametuangusha.
Akili ya nyumbu bwana inavyoreason!

kwa hiyo Norwich,Burnley na timu zingine kwenye bottom table ilibidi wawe juu ya Liverpool & City? Coz walipata muda mwingi wa kupumzika zaidi ya Liverpool & City.
 
Akili ya nyumbu bwana inavyoreason!

kwa hiyo Norwich,Burnley na timu zingine kwenye bottom table ilibidi wawe juu ya Liverpool & City? Coz walipata muda mwingi wa kupumzika zaidi ya Liverpool & City.
Anasema kulingana na ukubwa wa timu
Arsenal alitakiwa kufanya vizuri
Hata kama asinge chukua EPL,vikombe vingine alikuwa na nafasi kubwa ya kuvichukua plus kuwa top three kwenye table sababu ya Kutokuwa na michuano mingi.

Hao burnely,Norwich Watford vikosi vyao haviwezi kulingana na kikosi cha Arsenal hata Kwa squad price tu Arsenal iko juu ya hao
 
Technically spurs are on the ceiling of their game while Arsenal still kuna room for improvement, tunaposema Spurs wamestrength january mean that wapo at end game quality wise, while Arsenal kuna potential ya kushowcase kwa kuadd more quality.

Hoja yangu ni kuwa Spurs' technical level is so high ila kwanini wanacompete top four na Arsenal ya Nketiah, Holding, Elneny, Cedric & Tavarez? The game has moved on and Conte needs to control every facets of play to compete at elite level, so naporeason hivi vitu najaribu kuproject in the long run ila wewe mshamba unaona hapa. Bahati mbaya mpira hujui so sikulaumu.

so conte ni bora kama akipata uefa kwa 2 points gap? na kama arteta akifuzu anakuwa bora kuliko Conte? Idiot.
Idiot...

Sawa!
 
Norwich, Burnley hawana wachezaji wazuri kama Arsenal. Wangekuwa na wachezaji wa caliber ya Arsenal wallah wangechukua ubingwa EPL.

Norwich hawana world class players kama pepe, lacazette, holding
So factor ya msingi kwenye kufanya vizuri ni ipi? kupumzika au wachezaji wazuri? liweke sawa.
 
Factors zote zilikuwa upande wetu. Ila kocha na wachezaji wametuangusha hawakuvuja jasho lote uwanjani, hawakuonyesha uwezo wao wote uwanjani.

Navyoona sababu kubwa ni quality tu basi yan tulikua na maeneo machache sana yenye quality hayazid hata matano ila uku pengine aliyoko ndan na aliyoko nje hakuna tofauti kbs
 
Wachezaji wa caliber ya hali ya juu, ukubwa wa kikosi + kocha mzuri. Arsenal tunavyo vyote compared na Burnley na Norwich.

Wachezaji + kocha hawajatutendea haki ubingwa ulikuwa wa kwetu huu na tuliwafunga wakubwa wenzetu.

Ndo maana tumemaliza juu ya hao kina Norwich na Bunley na hao wote waliomaliza juu yetu Arsenal wana ukubwa wa vikosi,na ubora wa vikosi vinawabeba isipokua Nyumbu tu ndo walikua na kila kitu isipokua ni ubovu tu
 
Kabisa CHIEF, nasikia tunakamalisha usajili wa Winga miaka 19 kutoka Brazil + Jesus, pepe na lacazette watupishe.

----------------------- Jesus -------------------------

Marquinhos ---- Odegaard ---------- Saka

Uyo Marquinhos bado hata kwa martinel ningeona mara mia zaid Raphinha upande wakushoto ila usajili wa marquinho sio wa kutegemea zaid kwa msimu huu unaoanza
 
Akili ya nyumbu bwana inavyoreason!

kwa hiyo Norwich,Burnley na timu zingine kwenye bottom table ilibidi wawe juu ya Liverpool & City? Coz walipata muda mwingi wa kupumzika zaidi ya Liverpool & City.
Kwa hiyo ninyi Arse manjifananisha na Norwich, sikujua hilo
 
Back
Top Bottom