Wiki mbili mlikua mnazungumzia quadruple, leo mnazungumzia single (nayo hamna uhakika nayo)... Nilisema game ya Bolton itakuwa na domino effect.
EPL, CL na FA
Nilifika kimyakimyaa....
Nikakaa kimyakimyaa.....
Na Naondoka kimyakimyaaa.....
Wasalaam..!
:focus::lol::focus:
Weekend njema wakuu wote na hongereni man united kwa kufika nusu fainali.
Congratulations to BJ & Company and all the best in your remaining games.
YouTube - Wiz Khalifa - Black And Yellow [Official Music Video]
Well you won but not very convincingly ... .... .... naona leo bahasha zilianza kufanya kazi mapema .... . . at least you have turned it around kwa kutumia kila mbinu. Good luck for the rest of the season. ... .... .... ..... ... we are waiting for you at the Emirates.
Yaani mzee Mbu hapo ndo ninapo kukubali kwenye makosa ni lazima useme ukweli,AW must shallow his pride and get A class players to win trophy cause the financial profit only favors the few and not the fans.Djourou is out for the rest of the season, as Vermaelen.Johan Djourou needed oxygen as he was carried off (PA)
Kwahiyo Central defenders wamebakia (unlikely partners) Kos na SQUILLACI...!
Our season is truly over wakuu, no hope.
Kujitia tamaa ya ubingwa EPL ni sawa na "kutamani ugali kwa harufu ya kitoweo cha jirani."
Hatuna 1st choice keepers wala 1st choice defenders.
Tutange msimu ujao, ingawa transfer policy za Wenger zinaeleweka.
Zaidi ya potential players, hatasajili wachezaji wa maana.
Washabiki wengi wa Arsenal wanamlaumu sana Denilson, lakini binafsi 1st one out of the door should be
Diaby, akifuatiwa na Rosicky, na Arshavin!
Almunia majuzi kawaponda wachezaji wenzake hawajitumi. Nadhani hili litam cost,
Wenger hataki wachezaji wake wakosoane kwenye media.
Ndio yale yale ya yaliyomkuta Gallas.
Arsene Wenger anaendekeza hali hii mwishowe team inakosa leaders.
Mafanikio ya Chelsea, Man United na hata Spurs yanatokana na wachezaji fulani kujitokeza kuwakosoa wenzao
uwanjani na nje ya uwanja. That's the only way to improve team performance.
...dah, Arsene Wenger leo kaonyesha sura ya uchungu mpaka nikamhurumia. Lakini "mtoto umleavyo!"
Kuna wakati natamani washabiki wafanye maandamano kama ya Egypt na Tunia wamng'oe, lakini the reality is,
players like Diaby, Arshavin, Rosicky ndio wanaomuangusha ARSENE WENGER!
Well, well well...
Together We Stand, kwa dhiki na faraja mpaka kifo kitapotutenganisha.
Yaani mzee wa kheeeeeeeekheeeeeeee naona umekua mpole hiyo ndo MAN UTD ilibidi mle nyingi sana leo.....sema ndo hivyo tumewatunzia heshima yaani kila siku bahasha au refa ndo hivyo KheeeeeeekheeeeeeeeeekheeeeeWell you won but not very convincingly ... .... .... naona leo bahasha zilianza kufanya kazi mapema .... . . at least you have turned it around kwa kutumia kila mbinu. Good luck for the rest of the season. ... .... .... ..... ... we are waiting for you at the Emirates.
Tatizo la Arsenal sio kutokuwa na world class players, heck wanao wengi tuu (RVP, Nasri, Fabregas, Wilshere) tatizo ni kuwa a) hakuna natural born leader kwenye dressing room a la Viera au Keane b) wachezaji wengi wakishaanza kutrail basi wanakata tamaa/panic na kuanza kufanya makosa yanayoweza kuepukika c) Hakuna ile determination, grit na mentality ya by any means necessary mfano mzuri ni kwenye mechi ya leo, Man Utd tulikuwa na make-shift team Arsenal hawakuchukua advantage.Yaani mzee Mbu hapo ndo ninapo kukubali kwenye makosa ni lazima useme ukweli,AW must shallow his pride and get A class players to win trophy cause the financial profit only favors the few and not the fans.
Barcelona wanacheza mpira wa kuvutia kuzidi nyie ila wana wachezaji wakubwa wenye majina na potential players sasa ona kila siku mnasindikiza tu hata FAB,RVP,Nasri wanachoka watachomoka pale ndo muone mnavyovuja zaidi............
Ila pole sana mkuu naona bundi hataki kuruka.
Tatizo la Arsenal sio kutokuwa na world class players, heck wanao wengi tuu (RVP, Nasri, Fabregas, Wilshere) tatizo ni kuwa a) hakuna natural born leader kwenye dressing room a la Viera au Keane b) wachezaji wengi wakishaanza kutrail basi wanakata tamaa/panic na kuanza kufanya makosa yanayoweza kuepukika c) Hakuna ile determination, grit na mentality ya by any means necessary mfano mzuri ni kwenye mechi ya leo, Man Utd tulikuwa na make-shift team Arsenal hawakuchukua advantage.
Kitu kingine Arsenal hawana Plan B pindi Plan A inapovurugwa na timu pinzani, miaka yote SAF anatumia tactic ya counter attack kuwafunga Arsenal and I am surprised Wenger bado hajaling'amua ilo.
Well you won but not very convincingly ... .... .... naona leo bahasha zilianza kufanya kazi mapema .... . . at least you have turned it around kwa kutumia kila mbinu. Good luck for the rest of the season. ... .... .... ..... ... we are waiting for you at the Emirates.
Congratulations to BJ & Company and all the best in your remaining games.
YouTube - Wiz Khalifa - Black And Yellow [Official Music Video]
...another very disappointing season, and we end up a laughing stock!
Huh!? hata injury hit Man United wametufunga? this is hillarious!
Sina hata cha kujitetea.
Eqlypz, BJ, Manda, Papizo, mfarisayo, Belo and the Rest...hongereni sana. :hail::hail::hail:
Johan Djourou needed oxygen as he was carried off (PA)
Djourou is out for the rest of the season (with a suspected broken collar bone,) as Vermaelen.
Kwahiyo Central defenders wamebakia (unlikely partners) Kos na SQUILLACI...!
Our season is truly over wakuu, no hope.
Kujitia tamaa ya ubingwa EPL ni sawa na "kutamani ugali kwa harufu ya kitoweo cha jirani."
Hatuna 1st choice keepers wala 1st choice defenders.
Tutange msimu ujao, ingawa transfer policy za Wenger zinaeleweka.
Zaidi ya potential players, hatasajili wachezaji wa maana.
Washabiki wengi wa Arsenal wanamlaumu sana Denilson, lakini binafsi 1st one out of the door should be
Diaby, akifuatiwa na Rosicky, na Arshavin!
Almunia majuzi kawaponda wachezaji wenzake hawajitumi. Nadhani hili litam cost,
Wenger hataki wachezaji wake wakosoane kwenye media.
Ndio yale yale ya yaliyomkuta Gallas.
Arsene Wenger anaendekeza hali hii mwishowe team inakosa leaders.
Mafanikio ya Chelsea, Man United na hata Spurs yanatokana na wachezaji fulani kujitokeza kuwakosoa wenzao
uwanjani na nje ya uwanja. That's the only way to improve team performance.
...dah, Arsene Wenger leo kaonyesha sura ya uchungu mpaka nikamhurumia. Lakini "mtoto umleavyo!"
Kuna wakati natamani washabiki wafanye maandamano kama ya Egypt na Tunia wamng'oe, lakini the reality is,
players like Diaby, Arshavin, Rosicky ndio wanaomuangusha ARSENE WENGER!
Well, well well...
Together We Stand, kwa dhiki na faraja mpaka kifo kitapotutenganisha.
Johan Djourou needed oxygen as he was carried off (PA)
Djourou is out for the rest of the season (with a suspected broken collar bone,) as Vermaelen.
Kwahiyo Central defenders wamebakia (unlikely partners) Kos na SQUILLACI...!
Our season is truly over wakuu, no hope.
Kujitia tamaa ya ubingwa EPL ni sawa na "kutamani ugali kwa harufu ya kitoweo cha jirani."
Hatuna 1st choice keepers wala 1st choice defenders.
Tutange msimu ujao, ingawa transfer policy za Wenger zinaeleweka.
Zaidi ya potential players, hatasajili wachezaji wa maana.
Washabiki wengi wa Arsenal wanamlaumu sana Denilson, lakini binafsi 1st one out of the door should be
Diaby, akifuatiwa na Rosicky, na Arshavin!
Almunia majuzi kawaponda wachezaji wenzake hawajitumi. Nadhani hili litam cost,
Wenger hataki wachezaji wake wakosoane kwenye media.
Ndio yale yale ya yaliyomkuta Gallas.
Arsene Wenger anaendekeza hali hii mwishowe team inakosa leaders.
Mafanikio ya Chelsea, Man United na hata Spurs yanatokana na wachezaji fulani kujitokeza kuwakosoa wenzao
uwanjani na nje ya uwanja. That's the only way to improve team performance.
...dah, Arsene Wenger leo kaonyesha sura ya uchungu mpaka nikamhurumia. Lakini "mtoto umleavyo!"
Kuna wakati natamani washabiki wafanye maandamano kama ya Egypt na Tunia wamng'oe, lakini the reality is,
players like Diaby, Arshavin, Rosicky ndio wanaomuangusha ARSENE WENGER!
Well, well well...
Together We Stand, kwa dhiki na faraja mpaka kifo kitapotutenganisha.
Inasikitisha kwa kweli.....
Wapi Michelle?:tongue: