Hili la msingi sana, tulimaliza 8th msimu uliopita, msimu huu tumepanda hadi 5th. Hatuna sababu ya kujiumiza sana, ndio nafasi yetu hiyo.
Hata hivyo, isingekuwa Conte effect 4th spot ingekuwa yetu, kumbuka kabla ya yeye kuja Spurs timu ilikuwa imeshapoteana kabisa, huyu jamaa anajua kuleta positive impact kwa muda mfupi sana.
Mkuu hiki umechelewa kukigundua. Majority ya wadau wanaongozwa na results. Timu ikishinda basi watasema hivi na timu ikipoteza wanabadilika kabisa yale wanayoyasema. Ndio siku moja nkagombana sana na huyu computerarsenal kwa sababu hizihiziNimegundua Football ni kitu kizuri sana kustudy psychology ya watu. The masses are always wrong. Wapo ambao they're driven by results, leo anasema hivi kesho anafanya vile, so nigga huna integrity?
Niambie unachojivunia kwa Arsenal ni nini?Liverpool Manchester City Chelsea waseme nini sasa?Mkuu hiki umechelewa kukigundua. Majority ya wadau wanaongozwa na results. Timu ikishinda basi watasema hivi na timu ikipoteza wanabadilika kabisa yale wanayoyasema. Ndio siku moja nkagombana sana na huyu computerarsenal kwa sababu hizihizi
Kwahiyo unadhani wale mashabiki wa Blackburn Rovers na Nottingham forest na Newcastle wote hawajui??? This is football!Niambie unachojivunia kwa Arsenal ni nini?Liverpool Manchester City Chelsea waseme nini sasa?
Mimi na wewe ni fans wa Arsenal but hujantajia big achievements za Arsenal in 15 years taja tuone hizo achievements unazojivunia!I repeat kuwa fan wa timu fulani is not an issue but those teams ulizozitaja for now unaweza ukazilinganisha na Arsenal ambayo ni big team na timu tajiri kwa kizazi cha sasa?kuzilinganisha hizo teams na Arsenal it means umekubali kuwa Arsenal ni smallest team in the worldKwahiyo unadhani wale mashabiki wa Blackburn Rovers na Nottingham forest na Newcastle wote hawajui??? This is football!
Sisi ni washabiki wa Coastal Union n tulishinda kombe la Tanzania 1988 ila hutuambii kitu na timu hii na Sisi sio wajinga
Hahahaha mkuu umewasoma ee ..wakishashinda bas Ni vurugu tupu uku akupoi Yani ni tetesi tu mwanzo, yule Aaron mzee wa matakwimu ndio anakuwaga kiranja mzee ..ngoja wapigwe hivi Sasa ..Basi Uzi wao utageuka Ni sehemu ya matusi, makero (Kama iv tunavyowakera😂😂)Arsenal fans wanachekesha wakishinda mechi mbili tatu basi uchambuzi na tetesi uchwara zinajaa humu pamoja na vingereza vingi uzi unapanda kila wakati fans kibao wapo active lakini wakipigwa wanapoteana kabisa isipokuwa wachache.
Hivi jamaa Aaron Arsenal mbona haungani na fans wenzake wkt wa mojonzi yeye Kazi tetesi na habari za mazoezini timu inapokuwa kwenye form? mbona sisi Nyumbu tuko hapi muda wote uchumbuzi unaendelea wakina Flano , Allypipi na wengine hawapoi ?
Kama 'ubaba' kwako ndo ule upupu unaotumaga kule kwenye threads za wengine basi inabidi 'ubaba' upate new definition kwakweli.We jamaa huwa nakufananisha na fan wa Liverpool anajiita Penison, i'm sorry to say huwa mna umama flani wa kiswahili.
Ninyi mushajihakikishia ushindi wenu kila msimu Ni kuifunga Chelsea na Man U tu tofauti na apo amuna mipango mingine.
Vile viushindi vyenu viwili vitatu mlivyopata Basi vichwa vikajaa majinna kuona kila kitu kinawezekana. hahaha timu lenu limejaa watoto eti akina saka na nkeita ndio wakacheze UEFA kweli..?? Akina pepe na lokonga hahaha dah hampo serious nyie, hata Europa sidhani Kama mutatoboa makundi.
#CFC
Kama 'ubaba' kwako ndo ule upupu unaotumaga kule kwenye threads za wengine basi inabidi 'ubaba' upate new definition kwakweli.
Uhalisia ni kwamba huna quality ya wachezaji wenye mentality za big games na huna wachezaji quality kwa UEFA. Wachezaji hawajui mechi muhimu wala kufanya mamuzi muhimu kutokana na umuhimu wa mechi, mechi za kushinda wao wanaenda kutafuta red cards or doing childish decisions, na ubaya hizo childish minds zimewaambukiza hadi baadhi ya mashabiki.
Hao kina Nketiah, Soares, Lokonga, Smith Rowe, Holding n.k ni fullset ya kukupeleka Europa na Conference Leagues huko, na huko pia sio kama title contenders bali kutoa ushindani tu.
Wekezeni pesa. Mpe Arteta pesa za usajili maana ushawishi wa big players kuja hapo ni uongo, so angalau pesa iwepo pengine itavuta watu vingine ni marktime tu.
Hatuna quality lakini tunachallenge Spurs wenye kane & Son, hatuna quality ila tumeshinda game nyingi EPL ukitoa Liverpool & City, tuache kuwa biased, at times kama hujui unachoandika ni bora kukaa kimya.
cheap reasons to writeHatuna quality lakini tunachallenge Spurs wenye kane & Son, hatuna quality ila tumeshinda game nyingi EPL ukitoa Liverpool & City, tuache kuwa biased, at times kama hujui unachoandika ni bora kukaa kimya.
Hawa jamaa wanachukulia soka seriaz sana hukuti majukwaa mengine fans kwa fans wanatukanana matusi mazito ila humu unakuta wanapanic sana nahisi wangekuwa mtaani hata makonde wangerushiana bora Mzee wa takwimu na tetesi anasubiri wkt wa vita kupoa si ajabu anatokea wkt wa Pre season kuendelea na Kazi yake 😂😂😂Hahahaha mkuu umewasoma ee ..wakishashinda bas Ni vurugu tupu uku akupoi Yani ni tetesi tu mwanzo, yule Aaron mzee wa matakwimu ndio anakuwaga kiranja mzee ..ngoja wapigwe hivi Sasa ..Basi Uzi wao utageuka Ni sehemu ya matusi, makero (Kama iv tunavyowakera😂😂)
Kivipi?Haya endelea kuwa na Small Team mentality
Huna unachojua, endeleza fani ya kuchambana.Kama 'ubaba' kwako ndo ule upupu unaotumaga kule kwenye threads za wengine basi inabidi 'ubaba' upate new definition kwakweli.
Uhalisia ni kwamba huna quality ya wachezaji wenye mentality za big games na huna wachezaji quality kwa UEFA. Wachezaji hawajui mechi muhimu wala kufanya mamuzi muhimu kutokana na umuhimu wa mechi, mechi za kushinda wao wanaenda kutafuta red cards or doing childish decisions, na ubaya hizo childish minds zimewaambukiza hadi baadhi ya mashabiki.
Hao kina Nketiah, Soares, Lokonga, Smith Rowe, Holding n.k ni fullset ya kukupeleka Europa na Conference Leagues huko, na huko pia sio kama title contenders bali kutoa ushindani tu.
Wekezeni pesa. Mpe Arteta pesa za usajili maana ushawishi wa big players kuja hapo ni uongo, so angalau pesa iwepo pengine itavuta watu vingine ni marktime tu.
How?cheap reasons to write
Yaani utaishia kupoteza nguvu zako bure kuzielekeza hizi mbuzi.Kama 'ubaba' kwako ndo ule upupu unaotumaga kule kwenye threads za wengine basi inabidi 'ubaba' upate new definition kwakweli.
Uhalisia ni kwamba huna quality ya wachezaji wenye mentality za big games na huna wachezaji quality kwa UEFA. Wachezaji hawajui mechi muhimu wala kufanya mamuzi muhimu kutokana na umuhimu wa mechi, mechi za kushinda wao wanaenda kutafuta red cards or doing childish decisions, na ubaya hizo childish minds zimewaambukiza hadi baadhi ya mashabiki.
Hao kina Nketiah, Soares, Lokonga, Smith Rowe, Holding n.k ni fullset ya kukupeleka Europa na Conference Leagues huko, na huko pia sio kama title contenders bali kutoa ushindani tu.
Wekezeni pesa. Mpe Arteta pesa za usajili maana ushawishi wa big players kuja hapo ni uongo, so angalau pesa iwepo pengine itavuta watu vingine ni marktime tu.
Hio ni kawaida ya mbuzi, wanaweza kipigana mapembe kwa kugombania majani yaliyo juu ya mti ambayo hawawezi hata kuyafikia.Hawa jamaa wanachukulia soka seriaz sana hukuti majukwaa mengine fans kwa fans wanatukanana matusi mazito ila humu unakuta wanapanic sana nahisi wangekuwa mtaani hata makonde wangerushiana bora Mzee wa takwimu na tetesi anasubiri wkt wa vita kupoa si ajabu anatokea wkt wa Pre season kuendelea na Kazi yake