Arsenal (The Gunners) | Special Thread

granit xhaka amezungumza maneno ya kikatili yenye ukweli ndani yake. "Hatukufuata kabisa maelekezo ya mwalimu, hatustahili kucheza hata europa, uwe na miaka 18 au 30 kama hupo tayari kucheza mpira ni bora ukae nyumbani". Hapo kwenye europe nafikiri ameongozwa tu na hasira za kupoteza mchezo muhimu.
 
Arsenal wameadhibiwa mara 5 kwa kosa la kushindwa kurusha mpira kwa usahihi, tavarez amefanya kosa hilo mara 3 na ndiye anayeongoza kwa premier league.
 
Huyo Mashaka mwenyewe ndio walewale tu,
Hio speech yake haina lolote zaidi ya kumkingia kifua Arteta.
 
Yani timu yenu hii takataka ndo mlitegemea mcheze champions league?
Arsenal haina wachezaji ina wacheza porno.
Nasikia hua wanafanya matusi mpaka kwenye vyumba vya kubadilishia nguo.
 
Bado nafasi ipo endapo spurs atapigwa na Norwich Arsenal wanahitaji ushindi wowote ,ikitokea spurs wakapata sare dhidi ya Norwich basi itabidi Arsenal washinde magoli 16 kwa bila dhidi ya Everton
Hiyo game yenu na Everton kwanza ombeeni Everton ashinde game na crystal palace ili wawe na uhakika wa kubaki EPL waki draw au lose na crystal palace tegemeeeni kufungwa au draw ila zaidi mtafungwa.
 
Inawezekana arsenal ndio timu inayoongoza kwa kuonewa na waamuzi
Sijui wao ndjo wangekua Chelsea ya awamu hii wangekua nafasi gani. Kuna mambo yalikua yanafanyika hata watu walishangaa mfano maamuzi baadhi kwenye mechi za Chelsea ukijumlisha na matatizo ya mmiliki wao timu ikapoteza ari ila walisimama hivyo hivyo
 
Kwa akili ya kawaida tu , timu inamuachia Lucas Torreira inabaki na elneny, timu inapasua kibubu inaenda kununua wachezaji wa kujaza kliniki ya majeruhi Bwana partey(yes ni mzuri ila anacheza game chache sanaa). Haya mambo timu yenu ijifunze basi mbona mepesi, liverpool alishindwa kuwa fit zaid sababu ya kuwategemea wagonjwa kama Keita, Ox, lallana, Matip ila waliposhituka ikabidi wapambane kutafuta wachezaji wanaoweza kucheza game nying zaid.
 
Spurs hawezi kupoteza game tena, yupo Conte pale ujuwe. Actually kama conte asingekuja spurs, tusingepata mpinzani wa nafasi ya nne.
we jamaa umeandika unachokiona na huo ndo uhalisia watu hawatazami ubora wa spurs unaanzia wapi,kiufupi binafsi yangu nikiwatazama makocha wote duniani Conte ndo kocha pekee anaeweza kuibadilisha timu ndani ya kipindi kifupi mno.Chelsea,Inter na hii Spurs zote zimekuwa imara katika msimu wake wa kwanza tu ,inawezekana kupoteza game yao na Norwich lakini ni ngumu mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…