Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Uhakika wa kwamba atashinda unautoa wapi wakat Jana mmeshikwa ndevu,tulia hivyo hivyo, huyo Tottenham unayemtegemea atakuingiza hasara siku ya Alhamis
Oyaa haya kiko wapi?.. 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 kushabikia Arsenal ni bonge la aibu.
 
Bila Shaka haya maneno yamekupokonyoka, sisi tunaangalia nafasi ya tatu saizi hiyo ya nne tuweaachia Chelsea na Tottenham washauriane wenyewe
Vipi ile nafasi ya tatu..? Katimu ka watoto waliokotwa kaje kuitoa Chelsea namba 3 pale kwa ubavu upi..? 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 poor Arsenal poor poor
 
Game imeisha ila michezo ya ligi inaendelea. Tuna nafasi finyu sana lkn mpira una maajabu yake hivyo lolote laweza tokea km ilivyotokea
Yaani itakuwa sawa na kukuta bikra kwenye kiringe cha machangudoa! Pole lkn, msimu ujao mnaweza ingia nne bora!
 
maybe he convinced the owners not to buy because he trusted his squad, that is why I have a bitter attitude towards him
Key word: may be!

Yet you're lamenting wholely about Arteta!
 
Siku tutakapiaamja na kuamua kuwa Serious team itarudi Kuupiga Ulaya, lkn with Stan na wahuni wenzie pale juu sioni hili likitokea. Wale wa Trust the process za Arteta naendelwa kuwakumbuaha with him hakuna matumaini tutayaoata, mwendo ni uleule, malalamiko tukizidisha kwa vipigo anahamasisha vijana wanashinda game nne mfululizo, kisha tunapoteza tatu muhimu na kujipanga tena,

Arteta tumepigwa na aliyetupiga ni Stan no Genge lake la wahuni. Team haijui inataka nini na wafanye nini kutoka hapo walipo.

Tumeipenda wenyewe wacha tuvumulie, ila i see Liverpool in the making, sitashangaa kufikisha 30+ yrs bila Ubingwa Stan akiendelea kuwa Mmiliki wa Team.

Tukutane msimu ujao kuenselea na ujinga wa Trust the Process.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…