Mo shyner
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 484
- 1,152
kamtengenezea goli mbili saka... ajabu kakosa kufunga ata mojaØde angekuwa anacheza nyuma ya wale jamaa wa liver wale 3 nadhan jamaa wangekuwa na goal 20+ wote asee
kamtengenezea goli mbili saka... ajabu kakosa kufunga ata mojaØde angekuwa anacheza nyuma ya wale jamaa wa liver wale 3 nadhan jamaa wangekuwa na goal 20+ wote asee
tunaongoza mbili... na leeds ana red cardNgapi tumepiga mtu huko wakuu? Niko safarini hakuna hata kibanda umiza
Na hata hivyo pia hiyo top 4 mwaka huu hawamalizi lazima watakua 5 huko kwa maaana Tottenham atawapiga na Newcastle hawaponi 🤣🤣🤣hawa wameridhika na makombe ya Arteta.
Hapa kwao wanaona Arteta amekabidhiwa kombe la dunia yaani AsaniAli wote wamefurahia.
Haya ndio mafanikio wanayoridhika nayo mashabiki wa hili timu, habari za PL na CL sio kipaumbele chao labda miaka 50 mbele. View attachment 2216581
Mtu amepigwa viwili saizi na game iko mapumzikoNgapi tumepiga mtu huko wakuu? Niko safarini hakuna hata kibanda umiza
Pamoja na Leeds kua na kadi nyekundu endeleeni kunywa mtori huku mnafurahia ila nawahakikishia nyama mtakutanazo chini kabisa kwenye dakika 90.Spurs & Man u hapo wamenuna kinyama![]()
Bila Shaka haya maneno yamekupokonyoka, sisi tunaangalia nafasi ya tatu saizi hiyo ya nne tuweaachia Chelsea na Tottenham washauriane wenyeweNa hata hivyo pia hiyo top 4 mwaka huu hawamalizi lazima watakua 5 huko kwa maaana Tottenham atawapiga na Newcastle hawaponi 🤣🤣🤣
Kumpita chelsea sahau hata ukishinda leo bado upo chini ya chelsea na chelsea game zijazo hatapoteza atashinda zote. The take over tayari hawana wasi wasi wa timu kushushwa kwa sheria tena 🤣🤣🤣Bila Shaka haya maneno yamekupokonyoka, sisi tunaangalia nafasi ya tatu saizi hiyo ya nne tuweaachia Chelsea na Tottenham washauriane wenyewe
Uhakika wa kwamba atashinda unautoa wapi wakat Jana mmeshikwa ndevu,tulia hivyo hivyo, huyo Tottenham unayemtegemea atakuingiza hasara siku ya AlhamisKumpita chelsea sahau hata ukishinda leo bado upo chini ya chelsea na chelsea game zijazo hatapoteza atashinda zote. The take over tayari hawana wasi wasi wa timu kushushwa kwa sheria tena 🤣🤣🤣
Kila mtu acheze mechi zake tukutane hesabu ya mwisho 38 tutajua nani wa kwenda CL 🤣🤣🤣 kuna wakwenda champions league ila sio arsenalUhakika wa kwamba atashinda unautoa wapi wakat Jana mmeshikwa ndevu,tulia hivyo hivyo, huyo Tottenham unayemtegemea atakuingiza hasara siku ya Alhamis
Jioni mahesabu kila mtu apambane kinamna yakeKila mtu acheze mechi zake tukutane hesabu ya mwisho 38 tutajua nani wa kwenda CL 🤣🤣🤣 kuna wakwenda champions league ila sio arsenal
👍🏻Jioni mahesabu kila mtu apambane kinamna yake


Arsenal wasitakebnianze matusi
Hayahaya mtori unaanza kuisha na nyama zinaanza kuonekana kwa mbali.Pamoja na Leeds kua na kadi nyekundu endeleeni kunywa mtori huku mnafurahia ila nawahakikishia nyama mtakutanazo chini kabisa kwenye dakika 90.