Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Wachezaji wana tension, sijui kwanini wanakosa composure.ESR rubbish today
I was asking few months ago anayehusika na Recruitment Arsenal ni nani ?Hizi pancha zetu duh
Kuna chura nyingi tu mm kwangu zipo kwenye Ignore list
Esr siku zote akianza ni upuuzi mtupu. Sijui kwanini arteta haoni hili.Wachezaji wana tension, sijui kwanini wanakosa composure.ESR rubbish today
Ngoja na mimi wakati wa half time nizihamishie ignore
Ni kweli. Tension iliyojengeka ni kubwa sna. Sijui kama ni tactical issue lakini GM alitakiwa aanze.Wachezaji wana tension, sijui kwanini wanakosa composure.ESR rubbish today
Tutawafunga wao kibahati.Ni kivipi hatujafungwa mpaka muda huu?
Mkuu hata tukifaulu kuingia huko CL, kwa timu hii bado kidogo...hawa Newcastle wanatukimbiza mbwa ana afadhali.SHOCKING
Ila kipindi cha kwanza chote Newcastle wameupiga mwingi sana.Timu za Midtable utazitambua tu kwa wanavyocheza
Mkuu hata tukifaulu kuingia huko CL, kwa timu hii bado kidogo...hawa Newcastle wanatukimbiza mbwa ana afadhali.





Precisely!Extremely fortunate to be at that level. The players are tired and getting injured. Even if we qualify for the Champions League, we certainly do not have the squad depth. for a start they are not playing like a team that wants Champions League football, let alone a team that competes competitively. Subs Smith Rowe has been a passenger today. Martinelli always creates chances, so get him on in the second half. it might come down to a scrappy one nil, but we are still in the game and a win is a win. improvement needed. Come on you gunners
Walichonifurahisha leo mpaka kipindi cha kwanza kinaisha hawajapata kadi nyekunduSometimes inabidi ukubali tu kuwa arsenal ni timu kubwa yenye uwezo mdogo


