Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Why Arsenal tusipeleke ofa Robert Lewandoski?tena fee haitakuwa kubwa why?tukiqualify champions league tumsign best striker in the world atatupa Big trophies huyu
YAANI LEWA AJE KUCHEZA NA VITOTO HIVYO..NIMEKUDHARAU SANA AISEE.
 
HABARI YA MUDA HUU NDIO HII...
Screenshot_20220515-160348_All%20Goals.jpg
 
YAANI LEWA AJE KUCHEZA NA VITOTO HIVYO..NIMEKUDHARAU SANA AISEE.
Aubamiyang tu aliona ni upuuzi kuhangaishana no watoto wa Academy sembuse huyo Lewandowski?
Hawa mbuzi kabla ya kuongea sijui huwa hawafikirii kwanza.
 
Ikatokea tunashindwa kupata matokeo mbele ya Everton na Newcastle. Basi haina haja ya kwenda UEFA
Hii kauli ni kubwa sana kuna mdau aliitoa,
IMG-20220515-WA0038.jpg
 
Ikatokea tunashindwa kupata matokeo mbele ya Everton na Newcastle. Basi haina haja ya kwenda UEFA
Hii kauli ni kubwa sana kuna mdau aliitoa,
View attachment 2225716
Game ya kesho ni Final kwa Arsenal asipopata 3 points itakuwa haina haja ya kufuatilia game vs Everton kila mtu afanye mishe zake kama kutoka out na Girlfriend au wife wake yote yatakuwa ni heri
 
For a minute I thought Pep decided to bottle today's game just to ensure united sees conference league.
 
Spurs mbona kama wanalazimishwa kucheza uefa, ile penalty n mbeleko mchana kweupe
 
Spurs mbona kama wanalazimishwa kucheza uefa, ile penalty n mbeleko mchana kweupe
Uzembe ni wetu sisi wenyewe na tunaelekea kujutia if hatutaqualify champions league kuna several games tulizichezea now on tumeingia kwenye mtihani mkubwa for example Arsenal vs Burnley (H) Everton vs Arsenal (A) Southampton vs Arsenal (A)hizi ni baadhi ya games ambazo tumeacha points kifala fala now inatucost licha Newcastle huwa ni kibonde kwetu but kwa sasa football ️ imebadilika let's wait and see
 
Ila bado tuna nafasi kubwa saana ya kuingia top 4, ushindi pekee ndo kitu muhimu zaid,game izo zimepita na sasa hatima yetu ipo mikononi mwetu basi
 
Huyu Marquinhos ana speed kubwa kwa speed yuko level sawa na Mbappe ila anatakiwa afanyie kazi basic skills za mpira.

So hii siyo finished article bado anatakiwa kutengenezwa ili awe jinsi ataendana na timu.
 
Tumuombee ashinde kwa crystal ili game letu awe tyr na uhakika wa kubaki ligi kuu hatokaza sana
 
Back
Top Bottom