OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Nafasi ya Tatu inawahusu ..bado point ngapi vile..?!Ukweli Mchungu timu yetu kwenye games za pressure kama ya Jana huwa hatupatagi positive results at all game ya Newcastle nayo ina pressure kubwa kuliko ya jana inafuatia let's wait and see nini kitatokea ila players lazima wajue kuhandle pressure kwenye games kama hizi
Mbuzi hata upige gitaa la kutoka mbinguni ..huwa asikii ..mbuzi ni mbuzi tuHamna uweza wa kumfunga spurs nyinyi narudia tena huenda hamjasikia vizuri uwezo wa kumfunga spurs hamna, sijui mmenielewa lakin?
Huyu referee Paul Tierney kumbe ni mzaliwa Wa Manchester na anaishi Salford-Greater Manchester kwahyo automatically ni fan Wa Nyumbu
Nilikuwa najua tu adui yetu hawezi kuwa mbali,always Nyumbu ndio adui namba moja kwa Arsenal
Alitaka Ramsade adake penalti ya Kane?Golikipa Bora kabisa
Tupe matokeo ngapi ukoo munaongoza.Kama nyie huo uwezo hamna usitusemee, na akipigwa uwepo uwepo hapa hapa sio unapotea Alhamis sio mbali, atakayekuelewa ni yule aliyevimbiwa kiporo, kwa anayekua anasubiri Alhamis ifke dk 90 ziamue
Mukishafungwa ndio munajua muna kid players halafu munaitaka uefa ππππArteta nimesikia anataka Senior players 22 , ukiangalia tunahitaji strikers 2 ,Viungo wawili, hawa wanne wanatakiwa kuwa versatile players karibu watatu,
Hii huongeza ukubwa wa kikos na sio namba ya wachezaji
Kwa kikos chetu, tunahitaji wachezaji wazoefu au wazuri wanne , na backup labda moja kwa LB,
Mwanzoni kabisa linidhani refa yuko upande wa Arse kwa sababu alivyomuachia Holding amnyanyase Son. Alimuonya kwa mdomo hakusikia, kampa a soft yellow hakusikia. Yellow ya pili akapewa, ninyi msiofikiri sawasawa mlitaka aendelee kufumbia uonevu aliokuwa akifanyiwa Son?No tangible evidence to blame ref. Arteta should shut up on this. Bookable offences were there and correctly given
Cheltako 2 Arsenal 4 says otherwise.Hunaa kwaliti ya kucheza uefa ..nyie ni mbuzi tu wa Europaπππ
Atacheza na Tomiyasu au Elneny?
Lakini Cheltako alikalia..au umesahau mkuu?Hunaa kwaliti ya kucheza uefa ..nyie ni mbuzi tu wa Europa
Ww jamaa una laana ya kipigo kutoka kwa TOT kimekuchanganya, hiyo kazi ambayo nmeitwa usajili nadhani ww ndo ulniombeaHalafu mi na wewe si wote tumeitwa kwenye usaili Dom?
Wewe dogo changanya miguu tukutane udomWw jamaa una laana ya kipigo kutoka kwa TOT kimekuchanganya, hiyo kazi ambayo nmeitwa usajili nadhani ww ndo ulniombea
Sawa, kumekucha sasa tunaomba uchambuzi
Kwa namna moja, nawaza kama yeye.
Ww una matatizo ya akili ww, nadhan hy kazi nayokuja kufanya usaili ni kukunyandua wwWewe dogo changanya miguu tukutane udom
Ety uchambuzi wao ni kumlaumu refa ππNimekaa kwa kutulia nasubiri uchambuzi wa kina Will Jr, Castr, Henry14 na Computerasernal.
Cheltako 2 Arsenal 4 says otherwise.
Cheltako 2 Arsenal 4 says otherwise.
Kwa game ya jana sina uchambuzi wa kina, bali simple opinion tu.Nimekaa kwa kutulia nasubiri uchambuzi wa kina Will Jr, Castr, Henry14 na Computerasernal.