Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wazee wa clean shit tulikubaliana leo ni kugongwa 5, haya badilisheni style Harry goli lake la 3 anataka mumpe kwa ile style ya mbuzi kagoma halafu Son atamalizia kwa ile style ya "Airtel wizi wa bando"
 
Tatizo la Arsenal ni nini?players or coach or board ?why ?game muhimu kama hii licha Refa katoa penalty ya mchongo but tumeshindwa kutulia?why?since 2016 watoto wetu wapo primary and secondary now hatujaplay champions league?We must beat Newcastle and Everton I hope linawezekana hili jambo
 
Spurs atapigwa kama walivyopigwa wenzake
Nyumbu
Chelshit
Westham

Spurs hana sababu ya kutopigwa,

Son anashikwa na tomiyasu
Kane anashikwa na holding (huyu anajua umuhimu wa hii game na heshima yake)

Xhaka na Broo mudy wanatawala ile middle yote [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Martinel
Saka
Unatosha kuweka [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Odegard
Huyu mtu arsenal bado hatumtendei hali,
Ndio anaeongoza ku create chances za goals,
Anajua kuupaka Mpira rangi mka enjoy na kuenjoy
Updates vision of OZIL
[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]KAAAAAAAANNEEEEEE

SOOOOOOOOOOOOON
 
  • Thanks
Reactions: ARV
Wazee wa clean shit tulikubaliana leo ni kugongwa 5, haya badilisheni style Harry goli lake la 3 anataka mumpe kwa ile style ya mbuzi kagoma halafu Son atamalizia kwa ile style ya "Airtel wizi wa bando"
Kuna ile ya "Hamza kafia ubalozini"
 
Tatizo la Arsenal ni nini?players or coach or board ?why ?game muhimu kama hii licha Refa katoa penalty ya mchongo but tumeshindwa kutulia?why?since 2016 watoto wetu wapo primary and secondary now hatujaplay champions league?We must beat Newcastle and Everton I hope linawezekana hili jambo
Timu za Academy hua hazichezi CL,
Nyinyi ni wa ndondo cup tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom