Mpaka hapo management ya Gunners itakapoamua kuachana na ubahili wa kusajili vifaa vya uhakika na vyenye kujituma uwanjani siye tukubali kunyanyaswa tu mwaka nenda mwaka rudi na akina Chelsick na MANU. Timu iko katika very sound financial position kuliko timu yoyote ile duniani lakini kwenye usajili ni zero kabisa.