Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nawaza tu hapa, tutaweza kumfunga Newcastle kwake? Everton huenda home advantage ikatupa nguvu...we need to win vs Newcastle and Everton to secure #4.

...the game is over today, I don't see us coming back into the game.
 
Tottenham na arsenal huwa game zao ziko hivi, anayefungwa huwa anafunga vizuri.

Ila arsenal wakitulia bado wanaweza kugeuza matokeo au kupata sare.
Forget it
Spurs wanazihitaji 3 points na hii ya Arsenal kuwa pungufu ni fursa ya dhahabu kwao
 
Mkuu wengine hatujui msimamo wa ligi ukoje, waga tunakutegemea wewe unaeletaga msimamo humu jukwaani, zimepita siku nyingi tunaona kimya Tu, hebu fanya kazi yako au nini shida?
Screenshot_20220512-223633_All%20Goals.jpg
 
Nawaza tu hapa, tutaweza kumfunga Newcastle kwake? Everton huenda home advantage ikatupa nguvu...we need to win vs Newcastle and Everton to secure #4.

...the game is over today, I don't see us coming back into the game.
Everton ndio wagumu unless wawe wameshatoka kwenye relegation list.

Leo tunaweza kubadilisha matokeo kwa kupata goli la mapema kipindi cha pili.
 
aisee machezaji ya kingereza haya basi tu ni kinyaa kwa kweli
sasa holding kulikuwa na umuhimu gani wa kucheza faulo pale
 
Nawaza tu hapa, tutaweza kumfunga Newcastle kwake? Everton huenda home advantage ikatupa nguvu...we need to win vs Newcastle and Everton to secure #4.

...the game is over today, I don't see us coming back into the game.
Aliyetuloga kafa hatuwezi kurudi kwenye hii game hapa ni Newcastle following game na then Everton mean top 4 ipo mikononi mwa Arsenal na Arteta plus players wake
 
1. Two goals behind with a man down..
2. Man down, two goals behind and 78/22 ball possession
3. Leo tisa
Cha kukusaidia leta msimamo,

halafu wanaomkataa Arteta ni wachache sana, kuanzia nanjilinji had london, ARTETA anakubalika zaid ya 90+% , ndio maana anaimbwa kila mech pale emirates

toka amefika hakuna hata bango la arteta out

aibu yenu mliompigia ramli atafukuzwa, cha ajabu ole na lampard wapo mashimon
Screenshot_20220512-223633_All%20Goals.jpg
 
Haya magoli mawili imewabadilisha Spurs na kuna uwezekano kabisa Arsenal wakapoteana na Kane 3 na Son 2
Kipindi cha pili Cedric asipoacha upumbavu wake na yeye anakula nyekundu halafu mashabiki wa Arsenyeto ndio watalia na refa vizuri.
Shida ya hawa watoto hawajiamini kabisa, badala watulie wacheze ule mpira wao wa academy wanaanza kucheza na miili ya watu.
Zile teke za mbavu alizopigwa Son mwanzoni kabisa niliona hawa watoto tayari wameshatoka kwenye lengo la kucheza mpira.
 
We're in deep shit! Spurs are too strong for us and with a man down it makes matters even worse. Can't see us coming through this.
I still argue that we can come back. We need one quick goal at the beginning of the second half. We also need to capitalize on every chance that we will get.
 
Tottenham na arsenal huwa game zao ziko hivi, anayefungwa huwa anafunga vizuri.

Ila arsenal wakitulia bado wanaweza kugeuza matokeo au kupata sare.
Arteta katumia akili sana kumrudisha tomiyasu kati na xhaka kushoto kisha Saka katikati. Timu imeanza kutulia tena nadhani hii mechi sio nzr kwa Nketiah hivyo amtoe aingie Lacazette. Lolote linaweza kutokea spurs wanafungika
 
Back
Top Bottom