Sanchez ni kitasa.
Ukikutana naye unaacha mpira.
Naona hawana Winks katikati badala yake kuna Bentancur ni hatari huyu mtu, na Kulusevski ni hatari pia ana skills, tech, curve ability kubwa, anajua kujiposition, ana pace, so nafikiri dawa ni kuzuia mawasiliano ya mid na forward.
Namuamini Elneny katika hiyo kazi. Xhaka itabidi zile thru balls aziishi leo.
Nketiah amekua good luck charm, if luck is by his side kuna kitu kitakua. Its nice tuna Martinelli, skills na pace vitamrudisha na kumtisha Royal.
Let the better man win.