Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Nketiah labda abak Kama chaguo la 3
au tumwache aende akawe star sehemu nyingine. Ya nini kuzibiana opportunities za kumrithi kane national team? Sisi tuchukue wengineNketiah labda abak Kama chaguo la 3
Lete matokeo nyumbu..Leed united wana jambo lao leo saa kumi alasiri.
Leeds United hawana jukwaa humu ila leo tutawawakilisha humuhumu kwenye sebule yenu.
Bado Arsenal Target zake Ni strikers wawiliau tumwache aende akawe star sehemu nyingine. Ya nini kuzibiana opportunities za kumrithi kane national team? Sisi tuchukue wengine
Dogo anaweza kuwa first akiongeza bidii.Nketiah labda abak Kama chaguo la 3
Naona abaki tu tubadili mawazo ya kumuuzaNiliwahi kuandika humu, anahitaji rotation na Jesus kama atakuja.
Napinga hili ,Dogo anaweza kuwa first akiongeza bidii.
Saka Hata kufunga msimu huu kajitahidi,alikuwa poor sana, ila Kila msimu ana improve,Saka ball striking yake kuna shida mahali, Arteta amfundishe hiki kitu, goli alilokosa saka, mahrez aliwafunga Madrid.
Shida tumeanza kucheza kwa kutembea uwanjani. Naumia team ina redcard bado inaingia golini kwetuKuna dalili za mvua ya magoli hapa
Saka ball striking yake kuna shida mahali, Arteta amfundishe hiki kitu, goli alilokosa saka, mahrez aliwafunga Madrid.
kamtengenezea goli mbili saka... ajabu kakosa kufunga ata mojaØde angekuwa anacheza nyuma ya wale jamaa wa liver wale 3 nadhan jamaa wangekuwa na goal 20+ wote asee