Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mmh nanyi!, siku zote hamkosi sababu. Wewe unamali mkononi unashindwa kuilinda?, pale haukutakiwa ufundi wala kuremba ilitakiwa kulinda goli. Hamjifunzi toka kwa wenzenu, kwa mtazamo wenu mlitaka kuwafundisha Barca jinsi ya kutandaza?. Halafu kila siku kosa lile lile, mnatakiwa kucheza kulingana na game mliyonayo, sio mchezo wa aina moja tu.
 
the Gunnerssss.... Kesho ushnd lazma au co the gunnerss haijalish 2namajeruh wangap ila ushnd lazma the gunnerss oyeeee...!
 



...wakati Man United wakiuguza kina Nani, Anderson, Park Ji Sung na Rio...Arsenal tuna Goal Keepers Crisis;

6 weeks - Wojciech Szczesny, Out Whole Season - Lukas Fabianski, 6 weeks - Vito Mannone.
Other Injuries; Fabregas, Walcott, Song, TV5, Frimpong.

...Bring them on!!!
 
Hatuna wachezaji kumi wa timu ya kwanza kesho....ukizingatia tuna game mbili muhimu zinakuja jumanne na jumamosi.
 


Dream Team: How the hybrid Arsenal and United team might look

 
Man UTD watapata tabu....!!! nitarudi baada ya match:lol:
 
Nashangaa sana watu wako so much concerned na issue za arsenal fc,nyumba zao zinaungua wanawashwa na yetu,anyway nahisi wana tukubali kiaina!
 
wakuu list la leo :

almunia, gibbs,koscienly,sagna,djouro,denilson,diaby,wilshere,nasri,arshavin,van persie.


Ka-Diaby kanapendwa kweli na Wenger duuuh.
 
wakuu list la leo :

almunia, gibbs,koscienly,sagna,djouro,denilson,diaby,wilshere,nasri,arshavin,van persie.


Ka-Diaby kanapendwa kweli na Wenger duuuh.

...mwenyewe Babu anamfananisha na Viera! LoL!...
ANYWAY, TOGETHER WE STAND!

btw, manda kasema anashangilia kimyakimya...
ndio zetu hizo washika bunduki!

Tuone leo Bundi atatagia wapi!
 
I'm tipping nasri and van p to ignite some sparks in this crucial game 2nite!
 
jamani leo niko mali na tivii japo kwa nusu saa

ila nimesoma kwamba manure wamepaki magari matatu ya mkaa na manne ya kuzoa taka pale golini... aibu sana kwa fergie kucheza defence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…