Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Gabriel Magalhães has now scored four Premier League goals this season, no centre-back has scored more. [@Squawka]
In Arteta We Trust.Amini wahuni tunarudi UEFA, kocha kapambana sana, kwa timu hii oya mwamba anajua sana.
Watu tunampigia hesabu lembuLiverpool anaenda kutusaidia , ninewaangalia totenham , wanachokifanya Ni counter tu, kumiliki mpira sio wazuri sana
Leeds ndan ya Emirates tumpige, Liverpool atusaidie tupae kwa point 5 Zaid
Fixtures ya Chelsea ,Kuna game had 2 anaweza kuvutwa shat
Conte huyo babaYea siku hizi wana mpira fulani ambapo wakiupata mpira unashangaa timu nzima inatembea kuja mbele.
Viungo wao haswa Winks wamekua wanapiga sana through balls za chini na juu yaani hawana muda na possession
Undava undavaEverton haijashinda kupitia wachezaji pekee kuna michango ya mashabiki.
Usiku wa jana mashabiki wa everton walienda kupiga baruti usiku kucha hotel waliyofikia wachezaji wa chelsea.
Na leo wakati wa mechi ameonekana shabiki mmoja akiuficha mpira wakati wa injury time.
Kweli mkuu. Zimeniuma sana zileBado na masikitiko na zile game tatu tulizo poteza against timu za kawaida, imagine tungepata ata point tano tu, sahv tungekua juu ya Chelsea. Daah!
Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
Kuna lembua alisema game zilizobak ,hatutazid point 6Mi naenda jukwaa la chelsea
Jamaa wamepambana sanaEverton haijashinda kupitia wachezaji pekee kuna michango ya mashabiki.
Usiku wa jana mashabiki wa everton walienda kupiga baruti usiku kucha hotel waliyofikia wachezaji wa chelsea.
Na leo wakati wa mechi ameonekana shabiki mmoja akiuficha mpira wakati wa injury time.
Ukifatilia na kuchunguza vzr utagundua Mech hizo 3 na zile za Kwanza ligi inaanza ,Kuna factors zimesababisha hizoKweli mkuu. Zimeniuma sana zile
Hapana! Tunazungumzia palace, Brighton na Southampton za juzi tu hapaUkifatilia na kuchunguza vzr utagundua Mech hizo 3 na zile za Kwanza ligi inaanza ,Kuna factors zimesababisha hizo
Moja kuchelewa kufanya usajiri
Mbili ufinyu wa kikos
Hizo mech Ni ponts 18 , imagine tungevuna point. .12-15
Tulikuwa kwenye race ya ubingwa
Hizo factors 2 zikifanyiwa kaz tuta step up hapa tulipo
Kuumia kwa Partey na Kieran ,ikaharibu mipango na kupoteana mech 3 ,
Tungekuwa na kikos kipana anaumia Partey na Kieran ,unaweka watu wenye Quality kama yao tungekuwa mbali zaidi
Hizo factors ndizo zinamfanya leo Liverpool na man city wapiganie ubingwa
Nimekuelewa nowUkifatilia na kuchunguza vzr utagundua Mech hizo 3 na zile za Kwanza ligi inaanza ,Kuna factors zimesababisha hizo
Moja kuchelewa kufanya usajiri
Mbili ufinyu wa kikos
Hizo mech Ni ponts 18 , imagine tungevuna point. .12-15
Tulikuwa kwenye race ya ubingwa
Hizo factors 2 zikifanyiwa kaz tuta step up hapa tulipo
Kuumia kwa Partey na Kieran ,ikaharibu mipango na kupoteana mech 3 ,
Tungekuwa na kikos kipana anaumia Partey na Kieran ,unaweka watu wenye Quality kama yao tungekuwa mbali zaidi
Hizo factors ndizo zinamfanya leo Liverpool na man city wapiganie ubingwa
Yah nazungumzia hizo na zile za awali ligi inaanza jumla points 18,Hapana! Tunazungumzia palace, Brighton na Southampton za juzi tu hapa
Pole sana .Sio kazi imewashinda, Tottenham wameshasema ni bora washuke daraja lakini sio kuikosa top4 ya msimu huu.
Son leo ametuma salamu kwa AsaniAli waachane na ndoto za mchana Uefa ina wenyewe.
Mtaenda nae Europa.Nyumbu tulishajiondoa wenyewe tayari hatutaki tuhesabiwe wala kuhusishwa na lolote kwenye top4.
Ila nyie masikini kuingia top4 labda kwa kutegemea Chelsea apoteze mechi zake zote zilizobakia, ila kumchomoa Tottenham hilo msahau kabisa.