Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,227
- 76,750
Sasa Bowen ni nani? Tulivyowapiga mbili bila huyu Mbowe alikua wapi? Na kuna member hapa ambaye yeye alikua anamhofia Rice.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu nyinyi ndio hamkufi sio?
Nina salamu zenu toka kwa Bowen.
Yaani shabiki wa Arsenal anamhofia Rice wewe mvimba macho wa pembeni unamhofia Mbowe