mepata jibu nlikuwa najiuliza ana tatzo gan🚨 Ben White misses out on today's matchday squad with a tight hamstring
Just normal kwa mchezaji akifanya vzr kwa mechi takribani moja au mbili lazima umpe nafasi tena ili aendelee kuonesha alichonacho na akishindwa itabidi arudi kwenye BenchiKwa hiyo sasa hivi Lacca ndio basi tena!!
Cheki huyu kilazaMpira anaoupiga Leeds dhidi ya City, naogopa kusema kama tutaweza kupata point tukicheza nao.
City anapigiwa pressing mpaka haelewi anabutua butua tu. Wachezaji wa Leeds ni kama cherehani vile walivyochangamka.
Sitoshangaa City akisuluhu au akipoteza hii mechi japo anaongoza.






Mbowe bado ana goli zake nyingine mbili.Tukitaka kupaki basi Holding is there.
We needed a goal. Holding delivers
Bowen amewaambia AsaniAli Bong'oweni na wenyewe mmebong'oa kweli amewatia kimoja.Sasa Bowen ni nani? Tulivyowapiga mbili bila huyu Mbowe alikua wapi? Na kuna member hapa ambaye yeye alikua anamhofia Rice.
Yaani shabiki wa Arsenal anamhofia Rice wewe mvimba macho wa pembeni unamhofia Mbowe
Bowen amewaambia AsaniAli Bong'oweni na wenyewe mmebong'oa kweli amewatia kimoja.
Kipindi cha pili mtabong'oa tena halafu Bowen anatia kingine, Rice na Lanzini kila mmoja nae pia ana goli lake.
Sure, bila silly mistakes za kudispossess mipira kijinga tungekuwa 1-0 up at HT.Huyu Tavares anaigharimu timu sana anafanya makosa mengi sana kuanzia game ya chelsea,man utd na game ya leo ya west ham sijui kwanini arteta anampanga hata kama tierney majeruhi angetafuta mchezaji yyte acheze,sioni dalili ya kutoboa top 4 makosa ni mengi sana
